Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Sio poa kuwahusisha hao watu na upinzani wa Chama sio vizuri,Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu wakiungana kuna uwezekana CCM itapata tabu kwa kiasi fulani lakini kama sio hao kizazi hiki hakina mtu nje ya hao wa kuitetemesha CCM.
Sio Lissu ,Lema au Mbowe wataweza kuiondoa CCM madarakani wala kizazi kinachotokana na wao.