Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Sifa ambazo hazijengi taifa!! Hiyo hotuba ni kujichukulia madaraka mkononi na sio kuongozaNa wewe unaunga mkono wakapange biashara hata kwenye mlango wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya? Hilo litakuwa ni Taifa la namna gani? JPM anafahamika alikuwa mtu wa kupenda sifa za hovyo hovyo especially kutoka kwenye makundi ya watu wenye uelewa mdogo katika jamii
Wavuvi wanalipa kodi?Yote sawa ila wafuate sheria na kulipa kodi stahiki!! Nchi yoyote hujiendesha na kodi, na sio kwa walalamikaji tu huku kodi hawalipi
Wewe nawe, wanapangwa na kuwezeshwa kuwa na anwani ili walipe kodi!! Katika ujenzi WA taifa lazima wananchi walipe kodi stahiki kulingana na kipato!! Unaziba mbele ya mlipa kodi na wewe hulipi kodi Unategemea maendeleo!?Bado sijaona sababu ya msingi kabisa ya kuwaondoa wamachinga barabarani.
Kama wanaziba njia na wanakaa kwenye mifereji ilo linazungumzika na inawezekana kuwasogeza sio kuwafukuza kama mbwa. Hii nchi ni ya kila mmoja.
Kuna watu nimeona wanasema nchi za weupe hakuna wamachinga....nawaambia watembee waone kuna nchi wamachinga mpaka kwenye reli.
Kwenye hiyo video JPM anataka wapewe utaratibu mzuri wa kufanya biashara kabla ya kuwaondoa.Na wewe unaunga mkono wakapange biashara hata kwenye mlango wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya? Hilo litakuwa ni Taifa la namna gani? JPM anafahamika alikuwa mtu wa kupenda sifa za hovyo hovyo especially kutoka kwenye makundi ya watu wenye uelewa mdogo katika jamii
waende wapi?Machinga tokeni barabarani,acheni kulialia
Waende wakafanyie biashara wapi?Machinga barabarani lazima waondokee siyo ombi.
Kwani kipindi wamachinga wananyanyasika kulikuwa na maendeleo gani?Wewe nawe, wanapangwa na kuwezeshwa kuwa na anwani ili walipe kodi!! Katika ujenzi WA taifa lazima wananchi walipe kodi stahiki kulingana na kipato!! Unaziba mbele ya mlipa kodi na wewe hulipi kodi Unategemea maendeleo!?
Kwani unafikiri hawa machinga ni wageni basi, walikuwepo katika minada na baadhi ya masoko, sasa wakati Mwendazake matajiri hawakuzikubali sera zake akaona awauzie hifadhi za barabara wamachinga kwa shilingi elf 20,000. Huu ulikuwa ukiukwaji mkubwa wa sheria za miji.Waende wakafanyie biashara wapi?
Wewe utakuwa mgeni nchi hii au hujui historia ya wamachinga nchiniKwani unafikiri hawa machinga ni wageni basi, walikuwepo katika minada na baadhi ya masoko, sasa wakati Mwendazake matajiri hawakuzikubali sera zake akaona awauzie hifadhi za barabara wamachinga kwa shilingi elf 20,000. Huu ulikuwa ukiukwaji mkubwa wa sheria za miji.
waende wanapotakiwa kuwa(jina iulizwe serikali sio mimi),barabara sio sokowaende wapi?