Wanaogopa wapinzani watawazidi kete, alafu utasikia eti upinzani kwisha kabisa. Sasa mtu hutaki afanye siasa ila baada ya muda unasema kaisha kabisa ili hali unamwogopa kama nini pamoja na kumnyima ulingo sawa. Upinzani wajue kuwa ccm ilishakufa sasa hivi wanashindana na dola, sasa wakidhani ccm ni chama cha kisiasa itakula kwao..mbona Katibu Mkuu wa CCM Dr. AL Bashir amekuwa akifanya mikutano ya hadhara nchi nzima? Kwanini iwe dhambi kwa makatibu wakuu wa vyama vingine kufanya mikutano?
Nashukuru MkuuMkuu, kwanza nikupongeze jinsi ulivyoleta hoja yako hapa jamvini.
Pili niseme kwa kifupi tuu kwamba the Coercive force yaani nguvu ya dola haijawahi kamwe kunyamazisha the Mass with public opinion on hand!! Yaani nguvu ya umma yenye ajenda ya taifa. 2020 ni mwaka wa vyama vya siasa kujitathimini vipo tayari kiasi gani kuaminisha Umma wa watanzania kuhusu maendeleo ya Tanzania.
Kama vyama vya upinzani vitaweza ku meet public opinion vitaweza badili uelekeo katika dulu za siasa. Ipo kazi kubwa ya kufanya, na kama ilifanyika wakati wa silent mode huu ndio mda wa kusimamia malengo..
Salaam sana
Shukrani Mkuu princebujonde kwa shukrani zakoMkuu, kwanza nikupongeze jinsi ulivyoleta hoja yako hapa jamvini.
Pili niseme kwa kifupi tuu kwamba the Coercive force yaani nguvu ya dola haijawahi kamwe kunyamazisha the Mass with public opinion on hand!! Yaani nguvu ya umma yenye ajenda ya taifa. 2020 ni mwaka wa vyama vya siasa kujitathimini vipo tayari kiasi gani kuaminisha Umma wa watanzania kuhusu maendeleo ya Tanzania.
Kama vyama vya upinzani vitaweza ku meet public opinion vitaweza badili uelekeo katika dulu za siasa. Ipo kazi kubwa ya kufanya, na kama ilifanyika wakati wa silent mode huu ndio mda wa kusimamia malengo..
Salaam sana
Mbona unaandika kama vile unaongea na mkeo au wanao? unamtisha nani huko nyuma ya key board!!! Wacha ulimbukeni kijana.Acha kupiga porojo nimeshakuambia anzeni hata kesho.
Watafanyaje? Vyama vya upinzani ni weak' hakuna watakachofanya zaidi ya matamko ya hapa na pale na kuomba maridhiano.Kwa hiyo Mkuu Magonjwa Mtambuka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally na Katibu mwenezi Humphrey Polepole kufanya mikutano holela ruksa!
Nyiye CCM mmeligeuza Jeshi la Polisi kama kitengo chenu.........
Kumbukeni wosia aliowapa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, katika mkutano mkuu wa CCM mwaka 2012 alipowaasa kuwa ni makosa makubwa kulitumia Jeshi la Polisi kama "mbeleko" ya kuendelea kubaki madarakani
cc: Erythrocyte
Ni kutoa taarifa tu mkuu, huyo magonjwa mtambuka atakuwa kazidiwa na magonjwa.Hivi Sheria inataka waombe vibali au watoe taarifa kwa jeshi la polisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaanzisha kata Funua kwa mfumo wa tamko kali msipotishika tutaomba maridhiano.Kukanyagwa kwa katiba katika serikali hii sio jambo la kushangaza. Ni utaratibu/ada.
Kama katiba inaizuia dola kujiimarisha, inapuuzwa tu.
He is immune to any legal consequences. Anaweza kuamua hata kuwa dikteta tu (kama bado hajawa) na hakuna mtakalomfanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama vya upinzani haviko weak kama unavyofikiria............Watafanyaje? Vyama vya upinzani ni weak' hakuna watakachofanya zaidi ya matamko ya hapa na pale na kuomba maridhiano.
Ndo weakness yenyewe. Udhaifu ni hali ya kulalama tu na kuongea ongea kwa matamko bila kuweza kuchukua hatua kwa kuhofia litakalokukuta. Ukichukua hatua.Vyama vya upinzani haviko weak kama unavyofikiria............
Kama ingekuwa hivyo CCM isingeweza kutumia mbinu chafu ili vivizuie vyama vya upinzani visifanye mikutano ya kisiasa.
Wewe kada wa Lumumba Magonjwa Mtambuka unaweza kunionyesha kifungu kipi cha sheria mnachotunia cha kuwataka wapinzani waombe kibali Polisi?Kuomba vibali pako pale pale. Msifikiri sasa ndio mikutano yenu hovyo hovyo ya hadhara kila siku imeruhusiwa.
Mkuu 'Ndachuwa', hili ni swali au ni 'statement' - pamoja na kwamba huko mwisho umeweka alama ya kuuliza.Serikali ikiweka siku 7 tuu kuwa ndio muda wa kampeni zitatosha kwa vyama vyote kuwafikia wapiga kura?
Mbona wewe hueleweki.Umesahau hapa JF ulisema hatamaliza mwaka? Achana na porojo za kitoto
Yaani mtoto mdogo kama wewe unathubutu kuniita mimi kijana? Aisee kazi ipo....Wacha ulimbukeni kijana.
Anzeni kufanya mikutano ya hadhara hata kesho basi, la sivyo pelekeni malalamiko yenu ubalozi wa Marekani. Kujisitiri nyuma ya keyboard na kupiga kelele ni kupotezeana muda tu.Wewe kada wa Lumumba Magonjwa Mtambuka unaweza kunionyesha kifungu kipi cha sheria mnachotunia cha kuwataka wapinzani waombe kibali Polisi?
Mamlaka ya Jeshi la Polisi ni yanaishia kwa kupewa taarifa tu na chama cha siasa na wajibu wao hao Polisi ni kuhakikisha usalama wa mkutano huo. Full Stop
Bado unadhihirisha kuwa wewe ni kijana, siku ukiamua kutumia akili zako huwa unakuwa na pointi sana. Ila siku ukiamua kuzifungia kabatini yanakuwa ni majanga.Yaani mtoto mdogo kama wewe unathubutu kuniita mimi kijana? Aisee kazi ipo.
Hunisumbui. Nafarijika sana watoto wadogo kama wewe kuanza kuniita kijana. Umesikia?Bado unadhihirisha kuwa wewe ni kijana,...
Sawa mkuu, ila ukweli hautabadilikaHunisumbui. Nafarijika sana watoto wadogo kama wewe kuanza kuniita kijana. Umesikia?