Uchaguzi 2020 Siku hazigandi, mwaka 2020 aliotangaza Rais Magufuli kuwa ndiyo mwaka wa kufanya mikutano ya kisiasa, kwa vyama vya upinzani, ndio huo ushafika

Uchaguzi 2020 Siku hazigandi, mwaka 2020 aliotangaza Rais Magufuli kuwa ndiyo mwaka wa kufanya mikutano ya kisiasa, kwa vyama vya upinzani, ndio huo ushafika

..mbona Katibu Mkuu wa CCM Dr. AL Bashir amekuwa akifanya mikutano ya hadhara nchi nzima? Kwanini iwe dhambi kwa makatibu wakuu wa vyama vingine kufanya mikutano?
Wanaogopa wapinzani watawazidi kete, alafu utasikia eti upinzani kwisha kabisa. Sasa mtu hutaki afanye siasa ila baada ya muda unasema kaisha kabisa ili hali unamwogopa kama nini pamoja na kumnyima ulingo sawa. Upinzani wajue kuwa ccm ilishakufa sasa hivi wanashindana na dola, sasa wakidhani ccm ni chama cha kisiasa itakula kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwanza nikupongeze jinsi ulivyoleta hoja yako hapa jamvini.
Pili niseme kwa kifupi tuu kwamba the Coercive force yaani nguvu ya dola haijawahi kamwe kunyamazisha the Mass with public opinion on hand!! Yaani nguvu ya umma yenye ajenda ya taifa. 2020 ni mwaka wa vyama vya siasa kujitathimini vipo tayari kiasi gani kuaminisha Umma wa watanzania kuhusu maendeleo ya Tanzania.
Kama vyama vya upinzani vitaweza ku meet public opinion vitaweza badili uelekeo katika dulu za siasa. Ipo kazi kubwa ya kufanya, na kama ilifanyika wakati wa silent mode huu ndio mda wa kusimamia malengo..
Salaam sana
 
Nashukuru Mkuu

Shukrani Mkuu princebujonde kwa shukrani zako

Hawa jamaa wa CCM hata wenyewe wanajijua namna wanavyobebwa na mbeleko za Polisi na TISS

Siku vyombo hivyo vya dola vitakapoamua kuwa "neutral" na kufanya kazi kwa weledi, ndiyo siku hiyo hiyo itakuwa mwisho wa CCM
 
Kwa hiyo Mkuu Magonjwa Mtambuka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally na Katibu mwenezi Humphrey Polepole kufanya mikutano holela ruksa!

Nyiye CCM mmeligeuza Jeshi la Polisi kama kitengo chenu.........

Kumbukeni wosia aliowapa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, katika mkutano mkuu wa CCM mwaka 2012 alipowaasa kuwa ni makosa makubwa kulitumia Jeshi la Polisi kama "mbeleko" ya kuendelea kubaki madarakani

cc: Erythrocyte
Watafanyaje? Vyama vya upinzani ni weak' hakuna watakachofanya zaidi ya matamko ya hapa na pale na kuomba maridhiano.
 
Kukanyagwa kwa katiba katika serikali hii sio jambo la kushangaza. Ni utaratibu/ada.

Kama katiba inaizuia dola kujiimarisha, inapuuzwa tu.

He is immune to any legal consequences. Anaweza kuamua hata kuwa dikteta tu (kama bado hajawa) na hakuna mtakalomfanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaanzisha kata Funua kwa mfumo wa tamko kali msipotishika tutaomba maridhiano.
 
Watafanyaje? Vyama vya upinzani ni weak' hakuna watakachofanya zaidi ya matamko ya hapa na pale na kuomba maridhiano.
Vyama vya upinzani haviko weak kama unavyofikiria............

Kama ingekuwa hivyo CCM isingeweza kutumia mbinu chafu ili vivizuie vyama vya upinzani visifanye mikutano ya kisiasa.
 
Mbona unaandika kama vile unaongea na mkeo au wanao? unamtisha nani huko nyuma ya key board!!! Wacha ulimbukeni kijana.
Huyo kada wa Lumumba anadhani sisi wote ni watoto wadogo wa kututishia nyau!
 
Vyama vya upinzani haviko weak kama unavyofikiria............

Kama ingekuwa hivyo CCM isingeweza kutumia mbinu chafu ili vivizuie vyama vya upinzani visifanye mikutano ya kisiasa.
Ndo weakness yenyewe. Udhaifu ni hali ya kulalama tu na kuongea ongea kwa matamko bila kuweza kuchukua hatua kwa kuhofia litakalokukuta. Ukichukua hatua.
 
Kuomba vibali pako pale pale. Msifikiri sasa ndio mikutano yenu hovyo hovyo ya hadhara kila siku imeruhusiwa.
Wewe kada wa Lumumba Magonjwa Mtambuka unaweza kunionyesha kifungu kipi cha sheria mnachotunia cha kuwataka wapinzani waombe kibali Polisi?

Mamlaka ya Jeshi la Polisi ni yanaishia kwa kupewa taarifa tu na chama cha siasa na wajibu wao hao Polisi ni kuhakikisha usalama wa mkutano huo. Full Stop
 
Serikali ikiweka siku 7 tuu kuwa ndio muda wa kampeni zitatosha kwa vyama vyote kuwafikia wapiga kura?
Mkuu 'Ndachuwa', hili ni swali au ni 'statement' - pamoja na kwamba huko mwisho umeweka alama ya kuuliza.

Mimi naona kama ni 'statement', kwani kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa nchini, pamoja na teknologia iliyopo, siku saba zinatosha kabisa kuwafikia wananchi.

Tena muda huo mfupi utakuwa wa manufaa zaidi kwa wapinzani kuliko CCM, kwani CCM wamekuwa wakijitangaza miaka yote minne, toka uchaguzi uliopita, kwa hiyo watakuwa hawana jipya ambalo wananchi wangependa kulisikia toka kwao.

Siku saba, kwa wapinzani waliojipanga na kujiandaa vyema kuhusu uwasilishaji wa hoja zao ni faida kubwa kwao.

Hata hivyo sipendekezi iwe muda mfupi kiasi hicho.

Wapinzani wanatakiwa sasa hivi kuwa katika 'full campaign mode' huku wakipanga ni jinsi gani uchaguzi utakavyokuwa huru na wa haki kwa wote. Muda ndio huu sasa, wasisubiri kuambiwa anzeni kampeni.
 
Umesahau hapa JF ulisema hatamaliza mwaka? Achana na porojo za kitoto
Mbona wewe hueleweki.

Chakaza humjui?
Kwa nini umchanganye na mkuu 'Mystery', tena kwa mjadala ambao ni tofauti kabisa!

Sasa kama alidumu huo mwaka, bado huoni sababu zilizofanya adumu. Huoni?
 
Wewe kada wa Lumumba Magonjwa Mtambuka unaweza kunionyesha kifungu kipi cha sheria mnachotunia cha kuwataka wapinzani waombe kibali Polisi?

Mamlaka ya Jeshi la Polisi ni yanaishia kwa kupewa taarifa tu na chama cha siasa na wajibu wao hao Polisi ni kuhakikisha usalama wa mkutano huo. Full Stop
Anzeni kufanya mikutano ya hadhara hata kesho basi, la sivyo pelekeni malalamiko yenu ubalozi wa Marekani. Kujisitiri nyuma ya keyboard na kupiga kelele ni kupotezeana muda tu.
 
Yaani mtoto mdogo kama wewe unathubutu kuniita mimi kijana? Aisee kazi ipo.
Bado unadhihirisha kuwa wewe ni kijana, siku ukiamua kutumia akili zako huwa unakuwa na pointi sana. Ila siku ukiamua kuzifungia kabatini yanakuwa ni majanga.
 
Back
Top Bottom