Wanaogopa wapinzani watawazidi kete, alafu utasikia eti upinzani kwisha kabisa. Sasa mtu hutaki afanye siasa ila baada ya muda unasema kaisha kabisa ili hali unamwogopa kama nini pamoja na kumnyima ulingo sawa. Upinzani wajue kuwa ccm ilishakufa sasa hivi wanashindana na dola, sasa wakidhani ccm ni chama cha kisiasa itakula kwao..mbona Katibu Mkuu wa CCM Dr. AL Bashir amekuwa akifanya mikutano ya hadhara nchi nzima? Kwanini iwe dhambi kwa makatibu wakuu wa vyama vingine kufanya mikutano?
Sent using Jamii Forums mobile app