Siku hizi hakuna anayezungumzia Kuhusu Chadema.

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
 
Reactions: Tui
Wajumbe wa ccm wametoa zile bendera zao.
Ile siku ya maandamano kuna jamaa alikua amesemika bendera ya CCM nyumbani kwake alivoona waandamanaji wanakuja akaitoa haraka watu walivofika pale wakamwambia tulitaka bendera ila kwa sababu umeiweka sehemu salama acha tukuchomee gari yako wakaipiga moto.
 
Ndipo mjue Gen Z hawana chama wala dini... Kazi yao ni kuwashughulikia nyinyi mbwamwitu mnaokula keki ya nchi huku mkiwatukana wanaoipambania nchi
Gen z wanaeleweka wanamsikiliza master wao Mange Kimavi. Akishapokea mzigo Kwa wahuni wa Ford Foundation. Anakuja kuamlisha nyumbu zake , zikipigwa Shaba dili lake linakuwa blue tick 🤣🤣
 
Reactions: Tui
Na ndio kosa la kimkakati alolifanya bi mkubwa.angewaacha chadema mana kwa namna moja au nyingine walikuwa wanamsaidia kutuliza upepo,sasa hiv wadau wanaona pa kusemea hamna wanafanya yao
 
Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Gen z wanaeleweka wanamsikiliza master wao Mange Kimavi. Akishapokea mzigo Kwa wahuni wa Ford Foundation. Anakuja kuamlisha nyumbu zake , zikipigwa Shaba dili lake linakuwa blue tick 🤣🤣
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Sema mmeuwa vibaka elfu 23 plus waliokuwa wanaiba Mali za watu. Kama umefirwa pole Sana siku nyingine unapoitukana serikali twitter uwe unatumia fake ID au hama nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…