Siku hizi hakuna anayezungumzia Kuhusu Chadema.

Siku hizi hakuna anayezungumzia Kuhusu Chadema.

Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
Kuna kilaza mmoja anasema CHADEMA ndio chanzo cha matukio ya kuanzia 29 October.

Je, huyo haiongelei CHADEMA!!??

Huyu zwazwa muanzisha uzi ajiitaye stakehigh , yeye haiongelei CHADEMA!!??

Njoo huku Kusini kwenye korosho uone CHADEMA inavyoongelewa "positively" kuhusiana na bei ya korosho ya msimu huu iliyowekwa na "kangomba" CCM.
 
Chadema ukiiangalia kwa kukurupuka unaweza kudhani ni kadude Fulani hivi ka kawaida, lkn Chadema ni dude Fulani kubwa sanaaa, ni chama chenye intelejensia Bora sana na kina watu wazito sana behind the scene( kama ni mchoro basi naifananisha chadema na PYRAMID
 
Back
Top Bottom