Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Mmepola uchaguzi kwa bunduki kupitia tume ya mchongo,mkiamlisha kila kituo kimpatie ushindi wa asilimia 97.66,bado tena mkajisimika madarakani na mkajiapisha vichocholoni.Sema mmeuwa vibaka elfu 23 plus waliokuwa wanaiba Mali za watu. Kama umefirwa pole Sana siku nyingine unapoitukana serikali twitter uwe unatumia fake ID au hama nchi.
Wewe pekee ndiye umeizungumziaSiku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
😄Wajumbe wa ccm wametoa zile bendera zao.
Mbona unaruka ruka . Tusimame na lipi...la kondo au pipa la asidi? Mmepigwa changa la macho hamuamini mshike wapi. Nasikia mlikuwa na mercenary wa kukodi kazi yao ilikuwa kuchoma Mali za serikali. Walichokutana nacho kisikie Kwa jirani tu.A
Mmepola uchaguzi kwa bunduki kupitia tume ya mchongo,mkiamlisha kila kituo kimpatie ushindi wa asilimia 97.66,bado tena mkajisimika madarakani na mkajiapisha vichocholoni.
Bado haitoshi mnateka ,mnafira,mnabaka,mnatorture bado tena mnauwa,sio kuuwa tu kwa kawaida bali mkisha uwa mna mtupia mtu kwenye pipa lenye tindi kali,haitoshi pipa hilo mnalizamisha baharini, bado tena haitoshi mnamtupia mtu kwenye mto wenye mamba wakali ili hata kucha zisibakie
Je tukisema CCM siyo chama cha siasa,bali CCM ni kikundi cha kigaidi kama bokoharam, Isis,al shabab au alqaeeda tutakuwa tumekosea??
Yote hayo yanawahusu kwani nyinyi ni binadamu si mashetani ambayo hayastaili kuishi kwa gharama yeyoteMbona
Mbona unaruka ruka . Tusimame na lipi...la kondo au pipa la asidi? Mmepigwa changa la macho hamuamini mshike wapi. Nasikia mlikuwa na mercenary wa kukodi kazi yao ilikuwa kuchoma Mali za serikali. Walichokutana nacho kisikie Kwa jirani tu.
Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
Ccm rasmi ni terrorist organizationTukio kubwa kuliko yote kwa sasa kwa hapa nchini, Afrika na Dunia nzima ni mauaji yaliyofanywa na watawala dhalimu nchini Tanzania. CHADEMA inatajwa kidogo kwa nafasi ya wahanga wa udhalimu wa watawala ibilisi. Mijafala ni juu ya watawala waovu, CHADEMA siyo miongoni mwa hao waovu, hivyo haiwezi kuwa kwenye top agenda.
Wangekuwa wanamsikiliza Mange basi maandamano ya D9 yangekuwa yamesogezwa mbele hadi christmas maana ndio alivyopendekeza Mange ila Gen z wakakataa.Gen z wanaeleweka wanamsikiliza master wao Mange Kimavi. Akishapokea mzigo Kwa wahuni wa Ford Foundation. Anakuja kuamlisha nyumbu zake , zikipigwa Shaba dili lake linakuwa blue tick 🤣🤣
Basi wanajiharakishia kwenda ahera.Wangekuwa wanamsikiliza Mange basi maandamano ya D9 yangekuwa yamesogezwa mbele hadi christmas maana ndio alivyopendekeza Mange ila Gen z wakakataa.
Na pia wangekuwa rahisi kuangushiwa jumba bovu ...Na ndio kosa la kimkakati alolifanya bi mkubwa.angewaacha chadema mana kwa namna moja au nyingine walikuwa wanamsaidia kutuliza upepo,sasa hiv wadau wanaona pa kusemea hamna wanafanya yao
Kwenda akhera hakuna kuwahi wala kuchelewa muda ukifika umefika ndio maana hata yule Sheikh aliyepinga maandamano ya Mo29 nae anabesabika kafa kwenye maandamano wakati alikuwa zake nyumbani ila polisi wakamuulia huko huko, kwahiyo kifo hakiepukiki.Basi wanajiharakishia kwenda ahera.
Unavyoiwaza chadema! Huwa inalipia kodi ya kukaa akili mwako bure?Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
"Elimu ELimu ELimu" -E.N.L 2015Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
Sema mwanangu mpaka sasa hujapata teuzi wakati mashoga kibao wameteuliwa?
Hakika kabisaNdipo mjue Gen Z hawana chama wala dini... Kazi yao ni kuwashughulikia nyinyi mbwamwitu mnaokula keki ya nchi huku mkiwatukana wanaoipambania nchi