MAWEED
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 3,550
- 12,239
Eleza ulikua unalipwa shilingi ngapi kwa mwezi...Nyie hamjui tu makampuni ya mabasi wanalipa mishahara mizuri sana hasa ukiwa na elimu achana na hizi kazi za upigadebe kuna nyingine km hizo Ticket attendant Managers,wahasibu,na position nyingine zinahitaji wenye elimu na mishahara ni mizuri sana..
Speaking from experience mimi tangu nina miaka 19 nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya mabasi niliajiriwa soon baada ya kumaliza form four,nkaenda Form 5 na 6 mpk chuo bosi akaniomba niendelee kubaki hapo,nikiri wazi kipindi ambacho nipo kwenye mabasi nilikuwa na hela sana ukiachana na mishahara kwenye mabasi kuna upigaji mwingi ambao mnapiga tukio na bosi hata hafahamu mpaka ile kampuni inafirisika(imefirisika kwa bosi kuingia kwenye biashara nyingine lakini sio kifedha)nilishapata mtaji wa kutosha wa kujiajiri...
Acha vijana tu waende huko