Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

Eleza ulikua unalipwa shilingi ngapi kwa mwezi...
 
Mjini ni mipango ya pesa elimu mbwembwe...kuna watu nawajua ni ma agent tu wa ma bus makubwa lakin wana maisha mazuri wana pay bills,wana vibanda vyao na biashara ambazo msingi wake umetokana na na kazi ya agent wa ma bus
 
True
 
Safi sana,sioni tatizo as long as wanalipwa stahiki zao vizuri..
Hii itasaidia watu kuona umuhimu wa shule..kupunguza wadada zetu mtaani.

Easy Man💪
 
Yes good
 
ABC ni miongoni mwa kampuni ya mabasi inayolipa vizuri.
Mkifika pale cate Hotel morogoro mnapiga misosomolo kama yote.
 
Mkuu naomba utupe abc za namna ya kupata Kazi huko.

Nafikiria heta Kwa kujitolea nielekeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…