Je, inawezekana kuwa wanaume wamekua madomo zege na hawajui tena kutongoza au ndiyo ukisasa?Kuna jambo nimekuwa nikiliangalia sana kwenye mahusiano ya siku hizi. Dunia imebadilika, na hata namna ya kuanzisha mahusiano imebadilika.
Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa kutongoza. Mwanaume alikuwa anakaa chini, anatafuta maneno mazuri, anahangaika kweli kweli mpaka mwanamke aelewe kuwa anavutiwa naye. Ilikuwa ni mchakato kabisa.
Lakini siku hizi ukweli ni kwamba watu wengi hawatongozi tena, wanachofanya ni kutoa idea tu.
Yaani unaweka mazingira au unapendekeza kitu, halafu kama mtu yupo interested ataelewa tu.
Mfano mdogo:
Badala ya kusema:
“Naomba uwe girlfriend wangu”
Siku hizi mtu anasema tu:
“Unaonaje weekend hii uje home tupike kitu pamoja tucheki movie?”
Hapo hakuna mahali kasema anakutongoza, lakini idea tayari ipo mezani.
Mfano mwingine:
Badala ya kusema:
“Nakupenda sana, nataka tuwe wote”
Mtu atasema tu:
“Leo nilikuwa napita sehemu fulani nikakumbuka ungekuwa hapa tungekula kitu pamoja.”
Idea tayari imetolewa.
Mfano mwingine wa kawaida sana siku hizi:
“Unaonaje tukutane coffee kesho jioni tuongee kidogo?”
Au
“Weekend hii nina plan ya kuangalia movie mpya, ungependa kujoin?”
Hapo mtu hatongozi moja kwa moja, anatoa tu opportunity. Kama mtu ana interest ataingia kwenye hiyo idea.
Hata kwenye chatting hali ni hiyo hiyo.
Zamani ilikuwa:
“Naomba namba yako, nakupenda.”
Siku hizi ni rahisi sana:
“Tuendelee na hii story WhatsApp itakuwa rahisi.”
Ukikubali kutoa namba, story inaendelea yenyewe.
Mfano mwingine:
Badala ya kusema wazi “nataka tuwe karibu”, mtu anasema:
“Unaonaje siku moja nije nikutembelee hapo kwako?”
Au
“Unaonaje siku moja nikupikie?”
Au
“Unaonaje tukasafiri hata day trip tu tukapumzike?”
Hizi zote ni ideas.
Ukweli ni kwamba hii style imekuwa common sana kwa sababu watu wengi siku hizi hawataki kukataliwa moja kwa moja. Kwa hiyo wanaweka idea mezani.
Kama mtu ana interest ataishika.
Kama hana interest, ataiacha tu ipite kimya kimya bila drama.
Na mara nyingi mwanamke akipenda hiyo idea, hata yeye anaweza kuendeleza conversation kama vile:
“Weekend hii naweza nikaja, lakini nitakuja mchana.”
Au
“Hiyo movie tunaweza kuiangalia wapi?”
Hapo tayari mchezo umeanza.
Kwa kifupi:
Siku hizi mahusiano mengi yanaanza kwa ideas, sio kwa kutongoza rasmi kama zamani.
Mtu anaweka tu mazingira, halafu chemistry ikikubali mambo yanajiendeleza yenyewe.
Swali la kujiuliza ni hili:
Hii style mpya ya kutoa idea badala ya kutongoza moja kwa moja ni bora zaidi, au imeondoa ile ladha ya mahusiano ya zamani?
Me siku hizi netengeneza idea , demu akiipenda basi mchezo unakua umeisha hivyo
Barua na kadi zimepigwa perfume😌Je, inawezekana kuwa wanaume wamekua madomo zege na hawajui tena kutongoza au ndiyo ukisasa?
Kizamani ndiyo ilikua poa, unatumiwa mpaka barua za kuimbishwa kwa maneno matamu!
Halafu akikutongoza mwanzoni, baadaye anafanya kama wewe ndio unamuhitaji zaidi au ulimtongoza🤦🏽♀️Zamani ndio ilikua nzuri, mtu anakufukuzia muda mrefu na yupo serious sio hawa wa sasa akiomba namba ukiringa kidogo tu ndio imeisha hiyo.
Hivi sababu hasa huwa ni nini? Natamani wanipe jibu.Halafu akikutongoza mwanzoni, baadaye anafanya kama wewe ndio unamuhitaji zaidi au ulimtongoza🤦🏽♀️
Waje hapa wasema mbuzi hawa🙂Hivi sababu hasa huwa ni nini? Natamani wanipe jibu.
Kila zama na kitabu chake madam, zama hizi hawatongozi..sio kwa sababu ya udomo zege, mambo yamebadilika tu.Je, inawezekana kuwa wanaume wamekua madomo zege na hawajui tena kutongoza au ndiyo ukisasa?
Kizamani ndiyo ilikua poa, unatumiwa mpaka barua za kuimbishwa kwa maneno matamu!
Nimekuja kugundua, kumbe hata wewe unapenda kuwekana..zile blah blah zako ni fix tu😅😅Hizo idea zinawekwa kwa mashangazi, mabikra wote wanatongozwa kama zamani..!! 😹😹
Mshangazi Una nyege unaanzaje kukataa kupikiwa na kupikwa kwa mfano?? Eenhhe..!! 🤣😹
Mshangazii awezi ruka apoHizo idea zinawekwa kwa mashangazi, mabikra wote wanatongozwa kama zamani..!! 😹😹
Mshangazi Una nyege unaanzaje kukataa kupikiwa na kupikwa kwa mfano?? Eenhhe..!! 🤣😹
Nakuelewa mzee mwenzangu, sie zamani ukimsumbua ndiyo kwanza anaongeza juhudi, na unampima jinsi anavyokutaka au kukupenda kwa namna gani atakusotea.Kila zama na kitabu chake madam, zama hizi hawatongozi..sio kwa sababu ya udomo zege, mambo yamebadilika tu.
Zama sisi tunaanza kutongoza ilikuwa mtihani kabisa, hadi ukubaliwe, hadi upewe papa..umesota sana.
Tukubali tu zama zimebadilika, kama anavyosema mleta mafa, mbinu anuwai zinatumika, unapewa idea, ukiinunua you're in, ukiona haifai tayari mtu anajua I've been rejected 😅
Unaisoma na huijibu, mpaka atume kama tatu hivi 😂Barua na kadi zimepigwa perfume😌
Yaani nyakati hizi ngumu sana, ukisusa yeye anageuka na kutembea, hajali hisia zako wale.Nakuelewa mzee mwenzangu, sie zamani ukimsumbua ndiyo kwanza anaongeza juhudi, na unampima jinsi anavyokutaka au kukupenda kwa namna gani atakusotea.
Siku hizi ukiacha kujibu meseji na yeye anaacha, eti uanze kumtafuta wewe 🚮🚮🚮, huu ukisasa hapo ndiyo unaponishinda.
Sipendi, Sema sometimes tunaenda na trending ya uzi unavyotaka bana..!! 😹😹Nimekuja kugundua, kumbe hata wewe unapenda kuwekana..zile blah blah zako ni fix tu😅😅
Jeuri ya kuruka anayo sasa?? 😹😹Mshangazii awezi ruka apo
Fix tu, hilo tayari nimethibisha😅 achia kitu kipigwe kazi, vijana wenyewe wanakupa idea tu, hakuna kupendana tena. Vijana mnapitia nyakati ngumu sana.Sipendi, Sema sometimes tunaenda na trending ya uzi unavyotaka bana..!! 😹😹