cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Halopesa na MIXX BY YASMbona unajieleza sana,tunasema na Tigopesa,mpesa tu.
Halopesa na MIXX BY YASMbona unajieleza sana,tunasema na Tigopesa,mpesa tu.
😂😂😂😂😂 Jitoe akili mwezi mwema huuOYa we frame ya kariakoo au ya Sinza kijiweni
😂😂😂Nakuelewa mzee mwenzangu, sie zamani ukimsumbua ndiyo kwanza anaongeza juhudi, na unampima jinsi anavyokutaka au kukupenda kwa namna gani atakusotea.
Siku hizi ukiacha kujibu meseji na yeye anaacha, eti uanze kumtafuta wewe 🚮🚮🚮, huu ukisasa hapo ndiyo unaponishinda.
Katika kitu huwa najilaumu mpk kesho.... nimewah muandikia mtoto wa mtu barua mbili, majibu kimya🥺Ya tatu ndio inakulegeza kwa mbaali🥲
Na ukinyamaza anakuja kukuuliza mbona siku hizi upo kimya, nachoka mimiNakuelewa mzee mwenzangu, sie zamani ukimsumbua ndiyo kwanza anaongeza juhudi, na unampima jinsi anavyokutaka au kukupenda kwa namna gani atakusotea.
Siku hizi ukiacha kujibu meseji na yeye anaacha, eti uanze kumtafuta wewe 🚮🚮🚮, huu ukisasa hapo ndiyo unaponishinda.
Pamoja na huo udomo zege unaosema,ila siku hizi watu wanafanya ngono kupitiliza kuliko zamani yaani ngono imekuwa kitu rahisi sana.Mchakato wa kutongoza zamani unachukua miaka,mchakato wa kugusa na chuchu nao miaka,mchakato wa kugonga ndio usiseme.Sasa unajiuliza kweli wanaume ni madomo zege au ndio kama asemavyo mtoa mada kulana kimasihala kwa kutengeneza mazingira simple.Je, inawezekana kuwa wanaume wamekua madomo zege na hawajui tena kutongoza au ndiyo ukisasa?
Kizamani ndiyo ilikua poa, unatumiwa mpaka barua za kuimbishwa kwa maneno matamu!
Si muandikiane kiswahili tu maana huo ung'eng'e wa G ni balaaTukutane motoni kubababake
View attachment 3557767
Daah mambo magumu sana zama hizi.
Mimi nitabaki na uzamani wangu kwa kweli, naona unaniepusha na mengi.
Hilo mbona lipo wazi siyo la kujiuliza?hiyo ilikuwa tayari ni idea assuming tungefika kule then nimcheleweshe makusudi kuwe na ugumu wa kurudi kwa ndugu zake si ningemalizana nae,ni vile haikuwa lengo langu but ningemkazia nisingemkosa.Kwa hiyo hapo alivyokubali kukusindikiza ndiyo ameshakubali kuliwa au?
Nadhani sababu kubwa wanawake wa sasa wengi ni warahisi hivyo mwanaume anaona ya nini kujitesa ukiringa wewe leo kesho atapata mtu mwingine, na pia wanaume wengi wametanguliza tamaa mbele wenye kumaanisha na upendo wa kweli ni wachache ndio sababu hawaoni maana yoyote kumbembeleza mtu ikiwa lengo ni kupita tu, mwenye nia ya dhati atavuta vuta muda.Waje hapa wasema mbuzi hawa🙂
Wa kuclear mzigo bandarini kwa zama hizi...mmmh! Watu wanaitaka waichape wakupe ya kuogea na kufulia hiyo bikini 👙😅😅😹😹😹 Mi sitaki kupikiwa nataka wa kuclear mzigo bandarini 🤣
Mimi nna wivu mkubwa na kipapa changu, yani nakitunza vizuri kina budget yake kila mwezi ya kukiweka smooth then nikitoe tu kisa kufurahisha mtu eti anipikie weeh 😹😹😹 HAPANA
Yani hovyo sana, hapa aiiseeehh!Na ukinyamaza anakuja kukuuliza mbona siku hizi upo kimya, nachoka mimi
Nadhani sababu kubwa wanawake wa sasa wengi ni warahisi hivyo mwanaume anaona ya nini kujitesa ukiringa wewe leo kesho atapata mtu mwingine, na pia wanaume wengi wametanguliza tamaa mbele wenye kumaanisha na upendo wa kweli ni wachache ndio sababu hawaoni maana yoyote kumbembeleza mtu ikiwa lengo ni kupita tu, mwenye nia ya dhati atavuta vuta muda.
Inavyoonekana kuna watu hata kula mapupu wanawezaKula nyash ni laana na motoni utakutana na wenzako wala nyash...
Wewe tena utachomwa na ile non luminous frame 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kiufupi tu kwa sasa mapenzi ni kuviziana , ukijipendekeza sana unaweza ingia chaka vibaya sanaNa ukinyamaza anakuja kukuuliza mbona siku hizi upo kimya, nachoka mimi
Ni kweli kabisa!Pamoja na huo udomo zege unaosema,ila siku hizi watu wanafanya ngono kupitiliza kuliko zamani yaani ngono imekuwa kitu rahisi sana.
ilikua ni mchakato kweli, mchujo kali na ukifanikiwa kupita vipengele vyote ukampata unaona kweli ulifanyia kazi hicho unachokila.Mchakato wa kutongoza zamani unachukua miaka, mchakato wa kugusa na chuchu nao miaka, mchakato wa kugonga ndio usiseme.
Nafikiri ni kwelii kulana kimasikhara imekua kawaida sana, na mabinti wamekua wepesi sana kutoa tupu zao, mtu akijitajidi sana labda atampa hela ya kusuka, then anapewa tamu, wala hahitaji efforts!Sasa unajiuliza kweli wanaume ni madomo zege au ndio kama asemavyo mtoa mada kulana kimasihala kwa kutengeneza mazingira simple.
Sasa hapo ni yeye alikukubalia au ni wewe ndiyo ulikua na ajenda na ulipanga kutengeneza mazingira ya kumla bila hata kumtongoza. Hayo ndiyo mambo anayoyasema mleta mada, yani mwanamke akiombwa chochote na mwanaume ajue tu kwamba anamaanisha anataka kumkula.Hilo mbona lipo wazi siyo la kujiuliza?hiyo ilikuwa tayari ni idea assuming tungefika kule then nimcheleweshe makusudi kuwe na ugumu wa kurudi kwa ndugu zake si ningemalizana nae,ni vile haikuwa lengo langu but ningemkazia nisingemkosa.
Sisi tulifundishwa mwanaume hazoewi, na tukakua hivyo, hata kuonekana umesimama naye sokoni muda mrefu mnaongea utaonekana huna maadili.Kama wewe mtu mzima unadhani 2005 kurudi nyuma kuna binti alikuwa anakubali mwaliko wa mwanaume hovyo hovyo kama hivi?
Binafsi kuna level nimefika nimeona mapenzi ya kukulana tu ni kama ushamba flani .Sasa hapo ni yeye alikukubalia au ni wewe ndiyo ulikua na ajenda na ulipanga kutengeneza mazingira ya kumla bila hata kumtongoza. Hayo ndiyo mambo anayoyasema mleta mada, yani mwanamke akiombwa chochote na mwanaume ajue tu kwamba anamaanisha anataka kumkula.
Sisi tulifundishwa mwanaume hazoewi, na tukakua hivyo, hata kuonekana umesimama naye sokoni muda mrefu mnaongea utaonekana huna maadili.