Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Nihangaike kuktongoza wakati kuna njemba huko kwa maelekezo ya mpesa chapu tu unakipeleka. Hii hapana aisee, tukubaliane tu maisha sikuhizi si kama kipindi kile.
 
Nihangaike kuktongoza wakati kuna njemba huko kwa maelekezo ya mpesa chapu tu unakipeleka. Hii hapana aisee, tukubaliane tu maisha sikuhizi si kama kipindi kile.
Mimi nikifikiria hili ndo naona ni ujinga kupoteza muda kwa mwanamke kwa kubembeleza,

Sahv tumekuwa straightforward to the point
 
Nilimpa sababu aliiomba, haimaanishi kuanzia hapo nina matakwa ya kujibu kila anapoanzisha mawasiliano.
Ndio maana vijana wanaona hawana haja ya kuvumilia majibu, hapo anaona unamringia alafu pia akikupata akuhudumie Tena ndio maana wanaamua kumove haraka kwa mwanamke ambaye hampi nafasi au haoni uelekeo so anaona aende kwenye options zingine
 
Back
Top Bottom