Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Siku hizi mwanaume ukimfatilia mdada anaekusumbua kwa mda mrefu na kuwekeza sana mda na hela kwake baada ya miaka 5 huenda ukakutana na story inayokuhusu wewe bila wewe kujua, kwenye confession page ya raphee kule insta, ooh mume nilie nae anahudumia familia vizuri, ila sivutiwi nae kimapenzi, nilimkubali sababu ya hela, mara ooh mume wangu nilimkubali sababu ex wangu alinipiga matukio, alikua haeleweki nikaona ni-settle" 🙌 Kelsea
Ndio ukweli wenyewe huo, ndoa ambazo watu wanaingia wakiwa wanapendana kweli nadhani ni asilimia ndogo sana.
 
Sio udomo zege kwa 100% ila wanaume wengi siku hizi tumegundua kama mdada hakutaki ni hakutaki tu hata ufanyeje, maneno matamu hayana msaada mkubwa kwenye utongozaji Binti wa zamani
wewe jama unafeli sana, kuna wanawake wanapenda watu smart kichwani, akikusikia unavyopangilia fact tayari yeye analowa hapo bado hujaanza kumletea za kumtaka.
 
mimi huwa situmii ideas sababu sijali kuhusu kukataliwa, mke ninae hivyo sitegemei kuanzisha mahusiano yenye malengo mengi nje ya ndoa. Bas huwa naomba mzigo kwa nodhamu ya juu direct huku nikimuangalia ana kwa ana sababu sipigi simu au kuchat kwenye hili.

eye contact itathibitisha vile niko very serious, Hii mbinu naona ni win win situation sababu ukinikataa hunipotezei muda, ukinikubali nakubandua. Hii mbinu haifanyi kazi kwa visichana vidogo sababu vinataka nachi za kihindi mara mbebishane ndo ukile.

Kuna demu nilimuomba mzigo bila kutongoza akanishangaa sana sema nilimuomba kistaarabu akaniuliza why you jumped between stages and started with highest gear? nikamuambia double clutching starts on higher gear(hakuelewa nikaendela). This is a shot from distance if you're interested you can try something different muda huo nampa simu aandike namba nimesha muandikia 07 akamalizia kuandika kilochofuata ni show kali.
 
Mitongozano ya zamani mpaka unaloana hata mwaka mwendo ni huo sitaki nataka na hiyo ndo ilitugharimu sana unafall kweli kweli mwisho wa siku mkifika kikomo ni mwendo wa kuchinjana

Hawa vijana wa kupeana idea wako vizuri kisaikolojia katika kukabiliana na hizi stress za mapenzi, ijapokuwa mapenzi yao hayana taste kama ilivyokuwa enzi zetu
 
Mitongozano ya zamani mpaka unaloana hata mwaka mwendo ni huo sitaki nataka na hiyo ndo ilitugharimu sana unafall kweli kweli mwisho wa siku mkifika kikomo ni mwendo wa kuchinjana

Hawa vijana wa kupeana idea wako vizuri kisaikolojia katika kukabiliana na hizi stress za mapenzi, ijapokuwa mapenzi yao hayana test kama ilivyokuwa enzi zetu
Hahaha kpindi hicho una muota mtu kabisa na kumtamkia inakua ngumu🤣
 
Acha wewe ukinywa maji unanuona kwenye glass kweli kweli, sasa mapenzi ya hivyo halafu muachane hilo timbwili ni mmoja apotee au afe, fatilia hata vifo vya wivu wa mapenzi kwa kizazi hiki genz na sie millennial,

Genz wapo very safe
Gen z wanafikiri mapenzi ni kulombna na pesa tu , hilo linawasaidia kutotilia maanani hisia za kweli
 
Simple TU,hamtaki mapenzi mnataka hakikisho la kushiba plus kulipiwa bills plusmahitaji yote!

Na style lazima ibadilike !nakupenda kwasasa no ushamba kabisa kulitumia!
 
Ulimbukeni na kupotezeana muda,
Gen Z katika kitu wamekirahisisha mno ni mapenzi. Yaani mapenzi yasikupotezee muda.Huo muda unaweza kufanya vitu vikubwa sana!

Imagine enzi zetu unamfuatilia mtu mwaka au miaka halafu baadaye jibu lake hakutaki!

Coz zamani mwanaume unaaminishwa ujinga wa kukomaa! Eti akikataa mara moja rudia tena! Jitu linarudia zaidi ya mwaka plus miaka!

Kumbe penzi la kweli halihitaji kupeana muda coz unalihisi wewe mwenyewe!
 
Ndoto nyingi zimepotea kwenye huo ujinga wa kutongozana muda mrefu,
 
Back
Top Bottom