Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Bora achane na iwe siri yake, Gift nlimwandikia barua nikaandika na mashairi mule alivomaliza kusoma aliwapa wenzake nae wasome
Pole sana ni utoto tu, alitakiwa kuichoma kabla mtu mwingine aione! Zamani ukikutwa na mzazi una ujumbe kutoka kwa kijana ni kama umefumaniwa!!
 
Me Leo nilikuwa naenda kutafuna manzi , lakini nashukuru sana tamaa za mwili naendelea kuzishinda, Tukatae uzinzi Haina mana , kama na mmoja, piga papuchi vilivvyo
 
wanaume wengi wametanguliza tamaa mbele wenye kumaanisha na upendo wa kweli ni wachache ndio sababu hawaoni maana yoyote kumbembeleza mtu ikiwa lengo ni kupita tu,
Unajua hii mitandao imejanjarusha watu siku hizi, wanaume wengi tumegundua chini ya jua hamna mdada mgumu, ugumu wa mdada inategemea na mwanaume anaemfata, mara nyingi mnawazungusha wanaume sababu hamjavutiwa nao kimapenzi , naeza kuku treat vizuri, nakuhudumia ila unanizungusha mwaka na kuniwekea sheria kibao, akija kidume mwenzangu, hajawekeza kwako kihivyo, ila kwa vile unampenda ndani ya wiki 2 ushampa mzigo Kelsea
 
Ni wanawake wa sasa ila zamani mwanamke hata akikuelewa lazima akusumbue sumbue ilikua inaongeza thamani ila sasa ukisumbua ukigeuka umeachiwa vumbi mtu ashatokomea
 
Natafuta muwani kama hizi tafadhali mwenye anauza
 
Attachments

  • IMG-20260213-WA0033.jpg
    IMG-20260213-WA0033.jpg
    6.3 KB · Views: 19
Nadhani sababu kubwa wanawake wa sasa wengi ni warahisi hivyo mwanaume anaona ya nini kujitesa ukiringa wewe leo kesho atapata mtu mwingine, na pia wanaume wengi wametanguliza tamaa mbele wenye kumaanisha na upendo wa kweli ni wachache ndio sababu hawaoni maana yoyote kumbembeleza mtu ikiwa lengo ni kupita tu, mwenye nia ya dhati atavuta vuta muda.
Kwahiyo niendelee kuvumilia tu, ipo siku utanipea?
 
ila sasa ukisumbua ukigeuka umeachiwa vumbi mtu ashatokomea
Siku hizi mwanaume ukimfatilia mdada anaekusumbua kwa mda mrefu na kuwekeza sana mda na hela kwake baada ya miaka 5 huenda ukakutana na story inayokuhusu wewe bila wewe kujua, kwenye confession page ya raphee kule insta, ooh mume nilie nae anahudumia familia vizuri, ila sivutiwi nae kimapenzi, nilimkubali sababu ya hela, mara ooh mume wangu nilimkubali sababu ex wangu alinipiga matukio, alikua haeleweki nikaona ni-settle" 🙌 Kelsea
 
Back
Top Bottom