Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Siku hizi hatutongozi tena wanawake… tunawapa tu “idea” tu!

Zamani ndio ilikua nzuri, mtu anakufukuzia muda mrefu na yupo serious sio hawa wa sasa akiomba namba ukiringa kidogo tu ndio imeisha hiyo.
Kwa umri wako ulishapita stage ya huo utongozwaji wa kizamani, kwa sasa unakutana na hao wa aina hiyo ambao nao mapenzi yameshawapasua kichwa ndio maana wanaanza na habari za ma idea.
 
Nilifanya hivyo nikaambiwa nilijua tu ulitaka kunichezea😅
Anataka akuharibie uanaume wako achana nae

Hii ya kutongoza leo kesho umekula nayo si nzuri ila kwa afya ya akili naiona iko poa, mie ni konki wa kuendekeza hiyo mitongozo ya miaka lakini nimegundua nilitumia muda mwingi kwenye kuwaza mapenzi kuliko hata kuyafanya hayo mapenzi, nonsense
 
Kuna id yangu moja ya zamani kidogo , nilikuwa nakufuzia wewe mtu online ukaishia kunichomolea. Ungekubali huenda leo tungekuwa tumeamka kwenye shuka moja.
 
Anataka akuharibie uanaume wako achana nae

Hii ya kutongoza leo kesho umekula nayo si nzuri ila kwa afya ya akili naiona iko poa, mie ni konki wa kuendekeza hiyo mitongozo ya miaka lakini nimegundua nilitumia muda mwingi kwenye kuwaza mapenzi kuliko hata kuyafanya hayo mapenzi, nonsense
Mhm ila mapenzi ya kukulana tu na kusonga mbele nayo ya kijinga tu binafsi sioni umuhimu wake
 
Hivi sababu hasa huwa ni nini? Natamani wanipe jibu.
Ni kwa sababu alichokitafuta kwako kakipata hauna Tena umuhimu kwake, na hii utokea ikiwa hakuna kitu unachooffer kwake tofauti na k, wapo wanaume anaweza akawa alitaka uchi kutoka kwake lakini mazingira alikutana kutoka kwako Kunamfanya maamuzi yake hayabadili na kukuona essential kwake kwa future ya baadae. Ukweli ni kwamba wanawake wa Sasa mnatamaa sana ya hela ndio maana mnachezewa hata jamaa yangu hapa Natafuta Ajira analizingumzia
 
Ile energy ilishapotea halafu wakati huo nilikuwa navutiwa na avatar yako moja ya binti wa kinyarwanda nadhani. Labda tupeane tu hizo nyama ki utu uzima.
Hapa umenipa idea tayari, aah braza nyama wajuba wamepitq nazo,

Kwahiyo ulikuwa unamtongoza picha ya binti wa kinyarwamda kupitia mwandiko wa kapeace asiyejulikana, hisia ni upumbavu
 
Nakuelewa mzee mwenzangu, sie zamani ukimsumbua ndiyo kwanza anaongeza juhudi, na unampima jinsi anavyokutaka au kukupenda kwa namna gani atakusotea.

Siku hizi ukiacha kujibu meseji na yeye anaacha, eti uanze kumtafuta wewe 🚮🚮🚮, huu ukisasa hapo ndiyo unaponishinda.
Kwanini uone ni sawa kutojibu message ya mtu? Je ungekuwa ni wewe message yako haijajibiwa ungejisikiaje?
 
Back
Top Bottom