Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilete TaharukiNaona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!
NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
Kula kwa urefu wa kamba nawe kula kwenye urefu wa kamba yako.Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!
NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
Jerry alikuwa muigizaji kuliko mtendaji. Zile clinic za ardhi zilikuwa na maana gani na zimeishia wapi?Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!
NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
Yeye ndio mpigaji mkuu!Mama amewafunguliaa nchii mkuuu🤪🤪
Watu wamesharuhusiwa kula kwa urefu wa kamba zaoNaona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!
NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.