Siku hizi husikii kukamatwa magendo au bidhàa zilizo-expire

Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!

NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
Kula kwa urefu wa kamba nawe kula kwenye urefu wa kamba yako.
 
Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!

NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
Jerry alikuwa muigizaji kuliko mtendaji. Zile clinic za ardhi zilikuwa na maana gani na zimeishia wapi?
 
Nchi ina sera rafiki za biashara, magendo ya nini sasa? Jerry Silaa alikuwa na lengo la kupewa mlungula, ila sasa kiazi kikawa cha moto, bakuli la uji la moto
 
Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya!

NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
Watu wamesharuhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao
 
Back
Top Bottom