Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Hakuna kipindi ambacho tanzania kuna biashara ya madawa ya kulevya aina ya heroin,cocaine,shisha nk kama kipindi hichi cha utawala wa mama. Kinachosababisha kuwa tusisikie habari hizo ni kuwa wanaokamatwa na madawa hayo ni viongozi wenye vyeo vikubwa serikalini ambao hata mahakama na vyombo vya dola vinawaogopa kuwaadabisha.Kama unabisha tembelea viwanja vya ndege ujionee vifurushi lukuki vya madawa hayo yalivyotapakaa kila kona za uwanja.
 
wewe juma1967 unajisikia tu kulopokalopoka mshamba wewe
bado mko nyuma sana ya muda, madawa ya siku hizi sio tu kokeni na herion

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…