Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

Ningekua na vyote hivyo kulikua na haja gani nikutafute wewe

Unachenichekesha πŸ˜†
Weka dili mezani we mzee
Kijana kusafirisha wahamiaji haramu utaweza kijana boda to boda muda mwingine inabidi kuwahifadhi kwenye kambi za Siri, bila watu kujua kukamatwa iwe kama kunywa maji ila ni marufuku kukubali kupelekwa kituoni
 
Ukisema hivo toa na takwimu za waliokua addicted/victims huko sober houses na mitaani Hali ikoje!?
 
πŸ˜‚ Sio kwamba watu hawana bills za kulipa mkuu. Tatizo ni kwamba smuggling haimaanishi lazima ukamatewe airport. Wafanyabiashara wa dawa na dhahabu wamekuwa wakibadilisha routes na mbinu.


Na kusema hakuna wanaokamatwa si sahihi, kwa Tanzania, May - June 2026 DCEA iliripoti kukamata tani 22.6 za dawa haramu na watuhumiwa 188, huku pia kukiwa na interceptions za dhahabu zenye thamani ya mabilioni.


Kwa hiyo bills zipo πŸ˜‚, ila wale wanaojua system wanajua jinsi ya kuzipitisha bila kuonekana kirahisi.
 
Kijana kusafirisha wahamiaji haramu utaweza kijana boda to boda muda mwingine inabidi kuwahifadhi kwenye kambi za Siri, bila watu kujua kukamatwa iwe kama kunywa maji ila ni marufuku kukubali kupelekwa kituoni
Wow naanza je hii michongo ?
Ndiyo maana ukasema niwe na gari sio?
 
Mzigo upo mwingi mtaani, supply ni kubwa sana. Huyu mama kawekwa na wahuni, na wahuni wamemuweka makusudi ili mianya ipatikane. Wahuni ni watu werevu.
 
Mzigo upo mwingi mtaani, supply ni kubwa sana. Huyu kawekwa na wahuni, na wahuni wamemuweka makusudi ili mianya ipatikane. Wahuni ni watu werevu.
Hiyo mizigo mbona mimi siioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…