Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi maharage nakula nikifulia tu!kuanzia tarehe 14 mpk yanaharibu sufuria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi maharage nakula nikifulia tu!kuanzia tarehe 14 mpk yanaharibu sufuria
Ewaaa tupo pamoja kiongoziMaharage kwangu ndio kitu cha kwanza,msosi bila maharage sili.
Amen [emoji23][emoji23][emoji23]Aliegundua ubwabwa wa maharage Mungu ampunguzie adhabu huko alipo
Amen
Napata kiungulia na gas inajaa najisikia hovyo lakini nikinywa inasaidia.Usipokunywa hiyo omoprazole inakuwaje ,na ni nini??
Nna wadogo zangu nao hawali nyama ni maharage tuMaharage kwangu ndio kitu cha kwanza,msosi bila maharage sili.
Yes tunajamba vizuri sanaEheee wanawake wazuri nao wanajamba? 🙄🙄🙄
Unaniumiza maini na moyoAliegundua ubwabwa wa maharage Mungu ampunguzie adhabu huko alipo
Amen
Poleee kuna mda utafika yatakukubali tenaUnaniumiza maini na moyo
Ahaaaa sawaNapata kiungulia na gas inajaa najisikia hovyo lakini nikinywa inasaidia.
Safi Sana Nyama hizi Nyekundu sio nzuri kiafya,bora wanavyokula maharage.Nna wadogo zangu nao hawali nyama ni maharage tu
Unazungumzia maharage yapi... canadian, soya, nyayo, mbeya au yale mekundu makubwaa.Huwa yananiletea shida lakini siachi kuyala ninayapenda sana sijawahi kinai maharage. Nikimaaaliza nakunywa omoprazole
Kumbe ndo maana nasikia kaharufu ka ushuzi... ptuuu... Najuta kuifungua hii thread ya vijamboYaan nikila wewe usiku nitajamba mweeeee lakin leo nimewahi nikanywa maziwa naona tumbo liko poa lakin nilikula kidogo tu
Tena wanawake Wazuri hao waliozoea piza na mazaga zaga kibao wakiachia kitu vinanuka balaa,wanaachia mabomu kama ya Hiroshima na nagasakiEheee wanawake wazuri nao wanajamba? 🙄🙄🙄
Ndo ukome kuchanganya balimi na maharage. Wenzio tunagonga nyagi unatuona wazembe. You will read number!Yaan tumbo linakuwa kama kuna mtu anaendesha bajaji ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 ila harufu ya gesi inatokana na kula vyakula vyenye viungo kibao na mapochopocho yakukaangiza ila ukila matunda kwa wingi na maji kwa wingi harufu hakuna.Tena wanawake Wazuri hao waliozoea piza na mazaga zaga kibao wakiachia kitu vinanuka balaa,wanaachia mabomu kama ya Hiroshima na nagasaki
kuna nini hapa ?Kumbe ndo maana nasikia kaharufu ka ushuzi... ptuuu... Najuta kuifungua hii thread ya vijambo
NiombeeePoleee kuna mda utafika yatakukubali tena