Siku hizi kila nikila maharage tumbo linavurugika

Siku hizi kila nikila maharage tumbo linavurugika

Tena wanawake Wazuri hao waliozoea piza na mazaga zaga kibao wakiachia kitu vinanuka balaa,wanaachia mabomu kama ya Hiroshima na nagasaki
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 ila harufu ya gesi inatokana na kula vyakula vyenye viungo kibao na mapochopocho yakukaangiza ila ukila matunda kwa wingi na maji kwa wingi harufu hakuna.
 
Back
Top Bottom