Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Kwa mazungumzo ya hapa najiona kabisa kesho ninavyobandika maharagehakipitwi na wakati kile chakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mazungumzo ya hapa najiona kabisa kesho ninavyobandika maharagehakipitwi na wakati kile chakula
Na kasamaki ka kukaangaMaharage yakolee nazi ulie wali...halafu kachumbali pembeni... Mama Sabby umenitamanisha ghafla
HahahaKwa mazungumzo ya hapa najiona kabisa kesho ninavyobandika maharage
Kwa sababu napenda kula [emoji23] [emoji23]Wewe nakukubali..unajua vitu vizuri kama wew mwenyewe ulivyo[emoji8]
Ha ha ha ukitoka hapo unashushia na maji bariiiidiNa kasamaki ka kukaanga
Na unatafuta kitanda ulale maana shibe yake lazima ije na usingiziHa ha ha ukitoka hapo unashushia na maji bariiiidi
Wallahi hatukondi si kwa kupenda kula huku[emoji23][emoji23][emoji23]Na unatafuta kitanda ulale maana shibe yake lazima ije na usingizi
Nenda hospital kacheki ulcersZamani nilipenda sana kula maharage. Harage zito lililoungwa na vitunguu vingii na hoho, nazi au maziwa. Nilikuwa nikijaza maharage kwenye sahani wali unakuwa tepetepe, basi nilikuwa napenda kweli.
Hata enzi zile sekondari nilikuwa nakula tu naweka vitunguu, sukari na blueband na pilipili
Sijui nini kimetokea yamenikataa kabisa jamani nikila tumbo linaparanganyika kama vita humo ndani. Itanifanya hivyo hata wiki nzima au mbili jamani mpaka nimeyaogop. Sasa nayamiss leo naona yamepikwa hapa nimeona nilee kidogo nikanywa na maziwa nilipomaliza kula.
Je, kuna wengine mmeyashindwa kama mimi? Vidonda vya tumbo nimepima sina.
Nini itakuwa tatizo wajameni?
Tutakonda kwa kudra za mwenyezi Mungu ila sio kwa kuacha kula vinono jamani.Wallahi hatukondi si kwa kupenda kula huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwenye vinono jamani huwa najiuliza hivi kwanini hakuna diet za chips yai...ha ha ha ningeifanya kila siku.Tutakonda kwa kudra za mwenyezi Mungu ila sio kwa kuacha kula vinono jamani.
Hahahahahaa. Au diet ya samaki wa nazi na wali.Yaani kwenye vinono jamani huwa najiuliza hivi kwanini hakuna diet za chips yai...ha ha ha ningeifanya kila siku.
Jaribu maharage mabichi..yale ni mazuri,,huwezi pata hayo matatizoDarmian siyali maharage yananiumiza tumbo
Yaani kila kibonge angekua modelHahahahahaa. Au diet ya samaki wa nazi na wali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndo hamna sasa. Halafu vile vitu vitamu vyote ndo havitakiwi kuliwa.Yaani kila kibonge angekua model
Yaani mimi kila siku nasema nitaanza diet kesho...ikifika kesho najikuta nimekula nikishashiba najuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndo hamna sasa. Halafu vile vitu vitamu vyote ndo havitakiwi kuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mimi kila siku nasema nitaanza diet kesho...ikifika kesho najikuta nimekula nikishashiba najuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anhaaa... afazali. Hapo roho yangu imepona. Sasa naweza kuja PM nikiwa najiaminiAsprin jamani [emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka kusema nakazia
PoleeeeeMaharage matamu wewe nasikitika kweli kuyala kwa machale