Siku hizi kila nikila maharage tumbo linavurugika

Siku hizi kila nikila maharage tumbo linavurugika

Zamani nilipenda sana kula maharage. Harage zito lililoungwa na vitunguu vingii na hoho, nazi au maziwa. Nilikuwa nikijaza maharage kwenye sahani wali unakuwa tepetepe, basi nilikuwa napenda kweli.

Hata enzi zile sekondari nilikuwa nakula tu naweka vitunguu, sukari na blueband na pilipili

Sijui nini kimetokea yamenikataa kabisa jamani nikila tumbo linaparanganyika kama vita humo ndani. Itanifanya hivyo hata wiki nzima au mbili jamani mpaka nimeyaogop. Sasa nayamiss leo naona yamepikwa hapa nimeona nilee kidogo nikanywa na maziwa nilipomaliza kula.

Je, kuna wengine mmeyashindwa kama mimi? Vidonda vya tumbo nimepima sina.

Nini itakuwa tatizo wajameni?
Nenda hospital kacheki ulcers
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndo hamna sasa. Halafu vile vitu vitamu vyote ndo havitakiwi kuliwa.
Yaani mimi kila siku nasema nitaanza diet kesho...ikifika kesho najikuta nimekula nikishashiba najuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani mimi kila siku nasema nitaanza diet kesho...ikifika kesho najikuta nimekula nikishashiba najuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom