Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kwema wandugu?
Yani unakuta kuna tukio la kitaifa nakuja kuona matokeo tu mitandaoni. Juzi palikuwa na suala la tuzo za wachekeshaji. Nakuja kuona tu watu wanalalamika yule jamaa hajustahili. Mara yule jamaa aliupiga mwingi (yule wa kuachwa) ndio katika kupita huko X nimakutana na clip.
Hapa nje ya mada. Yule jamaa wa D2 nimetafakari kwa nini alikosa nikagundua kuwa comedy zake zina mambo mengi ya "kikubwa". Wajuaji wakaona hastahili.
Back to topic. Sasa sijakaa sawa nasikia tuzo za Trace Music. Najiuliza huwa wanatangazia wapi? Kama ni taarifa za habari, nimo. Kama ni social media nimo ( jf na X zaidi). Nasikia tu Bien alistahili. Naina Diamond mara Marioo sijui nini.
Kipindi kile Mwamposa anajaza uwanja wa Mkapa wala sikuwa najua. Siku hiyo niko pale maeneo ya Usalama naona watu kama wanaandamana kuelekea huko. Ndio nikaambiwa watu wanaelekea kwa Mkapa kupata miujiza. Dah!
Sasa najiuliza nazeeka? Yapo pia matukio mengi tu ya kisiasa pia. Soka ndio kabisaaa. Nakuja kusikia leo Yanga anacheza. Kampa mtu Hi 5 🖐️. Sijui Al nani kala kichwa cha makolo. Dah!
Tujulishane source za hizi taarifa wakuu. Nataka kuwa updated and uo to date as before