National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Miaka ya nyuma kabisa, nilikuwa dodoma nikakutana na demu mkali hatari, si nikaenda kumla.. Asubuhi nilianza isoma namba, alafu hapo narudi home manzi yangu inanisubiri na ilikuwa nata tabia nikifika tu lazima inicheki kwa gema kama nimekula inje au lah! Nilipitia wakati mgumu sana kichwani, ilibidi niuw safari juu kwa juu nikaenda jitibia kwanza hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. Ila wanawake STI kwao huwa hazionekani haraka unakuta anakaa nayo miaka na miaka bila kujua, ila mwanaume ni faster unaisoma nambaUkishaona usaha uanchuruzika jua hiyo ni STI
MamΓ¦ π€£π€£π€£ππKisima kikianza kupoteza maji huwa wanasafisha matope yote kinaanza upya
Nasema ukweli ndugu yangu sitanii au uongo mzee wa kupulizaMamΓ¦ π€£π€£π€£ππ
Shemeji yetu alikuwa analinda mali yake sio poa kaka π€£π€£π€£manzi yangu inanisubiri na ilikuwa nata tabia nikifika tu lazima inicheki kwa gema kama nimekula inje au lah!
Ni kweli National AnthemNasema ukweli ndugu yangu sitanii au uongo mzee wa kupuliza
πππ Mwanamke alikuwa smart, nikaona nimepelekee ugonjwa home, ikabidi niunde safari juu kwa juu hadi nilipo pona.. Ilibidi nipige dozi kali kweli kweli plus drip kusafisha uchafu... Ndio nikarudi home.. Nimefika home nikadakwa kula mzigo kwanzaaa, nikaitifua bila wasi wasi yaani mtoto anakubalia maana kipimo chake wanzugu wakitoka kinyonge anajua huyu mshenzi kaharibu,Shemeji yetu alikuwa analinda mali yake sio poa kaka π€£π€£π€£
De libolo inafanyiwa ukaguzi kama imechilimba visima vya nje
Binafs Happ nilitoka kuchakata Jana Ila sijisiki vzr kbsa Kuna maumivu kwa mbali nayasikia sijui kwa kweliWanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Jamaa alikuwa hana uzoefu anasema ule usaha alidhani anapiga bao kumbe ndo gono limeanzaUkishaona usaha uanchuruzika jua hiyo ni STI
Kwa hiyo kama ni TIGO tu pekee hakuna UTI, si ndio?Kuna vitu viwili vinavyosababisha UTI kwa akinamama.
1. Kutokuchamba vizuri kiasi uchafu kuingia katika K. Hii inagundulika ukipima maabara watakuta ni
E. coli (Escherichia coli0
2. Kama mnafanya kamchezo ambapo mnatoa mbele bila kuosha mnaendelea nyuma bila kuosha na mnarudi mbele. Hako kamchezo ni hatari kwa UTI hata kama mnatumia Condom. Jisi ya kufanya ni kuhakikisha umeiosha dushe kwa sabuni ili mwendelee na upande wa pili. La sivyo figo zitaathirika
π€£π€£π€£ alikuwa smart sanaπππ Mwanamke alikuwa smart, nikaona nimepelekee ugonjwa home, ikabidi niunde safari juu kwa juu hadi nilipo pona.. Ilibidi nipige dozi kali kweli kweli plus drip kusafisha uchafu... Ndio nikarudi home.. Nimefika home nikadakwa kula mzigo kwanzaaa, nikaitifua bila wasi wasi yaani mtoto anakubalia maana kipimo chake wanzugu wakitoka kinyonge anajua huyu mshenzi kaharibu,
Hahahaa hadi namba mshawapaIla namba D na E bado wabichi kiongozi
π€£π€£π€£ mpemba gani unaogopa kula tigo wewe?Kwa hiyo kama ni TIGO tu pekee hakuna UTI, si ndio?
Hahahaa kabisa kiongozi huwezi fananisha namba A na D au EHahahaa hadi namba mshawapa
Bwana wee nilizingua mzee baba, nikala red cardbπππ... Ingawa naona kuna dalili za kurudiana. Wanawake smart wanajua vipimo vya shahawa zetu, mie wangu alikuwa anajua kabisa nikiwa naachia mzigo nilikuwa na stuck kitu chenyewe kina koki kikombe nusu. Aone umetoka hujala mzigo wiki nzima alafu unarudi unarusha rusha maji wakati wa kupizi una pump lazima uandae maelezo, nilikuwaga namdanganya napiga punyeto ila akawa anajua hapa nadaganywaaa ππππ€£π€£π€£ alikuwa smart sana
Ila mazungumzo yako ni kama kwa sasa hamuishi pamoja?
π€£π€£π€£π€£π€£ huyo mashine alikuwa anaijua vizuri asee. Yaani anajua hii shoo mbovu na hii shoo imesimama. Ulipokuwa unamwambia kuwa umepiga punyeto alikuwa anakuelewa?Bwana wee nilizingua mzee baba, nikala red cardbπππ... Ingawa naona kuna dalili za kurudiana. Wanawake smart wanajua vipimo vya shahawa zetu, mie wangu alikuwa anajua kabisa nikiwa naachia mzigo nilikuwa na stuck kitu chenyewe kina koki kikombe nusu. Aone umetoka hujala wiki nzima alafu unarudi unarusha rusha maji wakati wa kupizi una pumb lazima uandae maelezo, nilikuwaga namdanya napiga punyeto ila akawa anajua hapa nadaganywaaa πππ
π π ππ€£π€£π€£π€£π€£ huyo mashine alikuwa anaijua vizuri asee. Yaani anajua hii shoo mbovu na hii shoo imesimama. Ulipokuwa unamwambia kuwa umepiga punyeto alikuwa anakuelewa?
πππππππ Sahihi kabisa mkuu.Kisima kikianza kupoteza maji huwa wanasafisha matope yote kinaanza upya