Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Ukishaona usaha uanchuruzika jua hiyo ni STI
Miaka ya nyuma kabisa, nilikuwa dodoma nikakutana na demu mkali hatari, si nikaenda kumla.. Asubuhi nilianza isoma namba, alafu hapo narudi home manzi yangu inanisubiri na ilikuwa nata tabia nikifika tu lazima inicheki kwa gema kama nimekula inje au lah! Nilipitia wakati mgumu sana kichwani, ilibidi niuw safari juu kwa juu nikaenda jitibia kwanza hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. Ila wanawake STI kwao huwa hazionekani haraka unakuta anakaa nayo miaka na miaka bila kujua, ila mwanaume ni faster unaisoma namba
 
Shemeji yetu alikuwa analinda mali yake sio poa kaka 🤣🤣🤣

De libolo inafanyiwa ukaguzi kama imechilimba visima vya nje
😀😀😀 Mwanamke alikuwa smart, nikaona nimepelekee ugonjwa home, ikabidi niunde safari juu kwa juu hadi nilipo pona.. Ilibidi nipige dozi kali kweli kweli plus drip kusafisha uchafu... Ndio nikarudi home.. Nimefika home nikadakwa kula mzigo kwanzaaa, nikaitifua bila wasi wasi yaani mtoto anakubalia maana kipimo chake wanzugu wakitoka kinyonge anajua huyu mshenzi kaharibu,
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi zikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Binafs Happ nilitoka kuchakata Jana Ila sijisiki vzr kbsa Kuna maumivu kwa mbali nayasikia sijui kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu viwili vinavyosababisha UTI kwa akinamama.
1. Kutokuchamba vizuri kiasi uchafu kuingia katika K. Hii inagundulika ukipima maabara watakuta ni

E. coli (Escherichia coli0​

2. Kama mnafanya kamchezo ambapo mnatoa mbele bila kuosha mnaendelea nyuma bila kuosha na mnarudi mbele. Hako kamchezo ni hatari kwa UTI hata kama mnatumia Condom. Jisi ya kufanya ni kuhakikisha umeiosha dushe kwa sabuni ili mwendelee na upande wa pili. La sivyo figo zitaathirika
Kwa hiyo kama ni TIGO tu pekee hakuna UTI, si ndio?
 
😀😀😀 Mwanamke alikuwa smart, nikaona nimepelekee ugonjwa home, ikabidi niunde safari juu kwa juu hadi nilipo pona.. Ilibidi nipige dozi kali kweli kweli plus drip kusafisha uchafu... Ndio nikarudi home.. Nimefika home nikadakwa kula mzigo kwanzaaa, nikaitifua bila wasi wasi yaani mtoto anakubalia maana kipimo chake wanzugu wakitoka kinyonge anajua huyu mshenzi kaharibu,
🤣🤣🤣 alikuwa smart sana

Ila mazungumzo yako ni kama kwa sasa hamuishi pamoja?
 
🤣🤣🤣 alikuwa smart sana

Ila mazungumzo yako ni kama kwa sasa hamuishi pamoja?
Bwana wee nilizingua mzee baba, nikala red cardb😀😀😀... Ingawa naona kuna dalili za kurudiana. Wanawake smart wanajua vipimo vya shahawa zetu, mie wangu alikuwa anajua kabisa nikiwa naachia mzigo nilikuwa na stuck kitu chenyewe kina koki kikombe nusu. Aone umetoka hujala mzigo wiki nzima alafu unarudi unarusha rusha maji wakati wa kupizi una pump lazima uandae maelezo, nilikuwaga namdanganya napiga punyeto ila akawa anajua hapa nadaganywaaa 😀😀😀
 
Bwana wee nilizingua mzee baba, nikala red cardb😀😀😀... Ingawa naona kuna dalili za kurudiana. Wanawake smart wanajua vipimo vya shahawa zetu, mie wangu alikuwa anajua kabisa nikiwa naachia mzigo nilikuwa na stuck kitu chenyewe kina koki kikombe nusu. Aone umetoka hujala wiki nzima alafu unarudi unarusha rusha maji wakati wa kupizi una pumb lazima uandae maelezo, nilikuwaga namdanya napiga punyeto ila akawa anajua hapa nadaganywaaa 😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo mashine alikuwa anaijua vizuri asee. Yaani anajua hii shoo mbovu na hii shoo imesimama. Ulipokuwa unamwambia kuwa umepiga punyeto alikuwa anakuelewa?
 
Back
Top Bottom