National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Miaka ya nyuma kabisa, nilikuwa dodoma nikakutana na demu mkali hatari, si nikaenda kumla.. Asubuhi nilianza isoma namba, alafu hapo narudi home manzi yangu inanisubiri na ilikuwa nata tabia nikifika tu lazima inicheki kwa gema kama nimekula inje au lah! Nilipitia wakati mgumu sana kichwani, ilibidi niuw safari juu kwa juu nikaenda jitibia kwanza hadi nilipo pona ndio nikarudi home.. Ila wanawake STI kwao huwa hazionekani haraka unakuta anakaa nayo miaka na miaka bila kujua, ila mwanaume ni faster unaisoma nambaUkishaona usaha uanchuruzika jua hiyo ni STI