Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
[emoji28][emoji28]mkuu jay anatuhasa tuache kukaba nyoka sasa sijui tutajitetea vipiWee jamaaa umenichekesha eti wakaba nyoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28]mkuu jay anatuhasa tuache kukaba nyoka sasa sijui tutajitetea vipiWee jamaaa umenichekesha eti wakaba nyoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha tukaomote gono na ngoma tuu ndio kilichobaki[emoji28][emoji28]mkuu jay anatuhasa tuache kukaba nyoka sasa sijui tutajitetea vipi
[emoji16][emoji16]Wacha tukaomote gono na ngoma tuu ndio kilichobaki
Kwanini[emoji23][emoji23][emoji23], wakati nyie mnasema wanaume wote ni mbwa. The end justifies the means.Usijumuishe wote
Ndio nikiamua siku navaaHuwa unavivaaga?
Shukrani kwakumwambia.Utaharibika mkuu
Kaswende, mwanamke huweza kukaa nayo miaka hata miaka ila anaweza kujagundua siku anapopata shida kupata mtoto maana yenyewe hula kizazi. So fanya routine checkup kama hujatulia ila kama umetulia, Mungu akubariki.Miaka mi3 without any dalili? Mhh haya mkuu [emoji119]
Mabinti mliozaa kipindi hichi mama yangu. Wote hawaaminiki, maana vyuo ni madarasa ya uzinzi.Hao wanawake wa hivyo mnawapata wapi
Nshakupenda tayari 😘Ndio nikiamua siku navaa
We, [emoji23][emoji23][emoji23] kwaakili yako ukajua mpaka penetration ndio STD unapata. Sio lazima braza, STD zingine ni contact tu with genital fluids au hata nyeti za mtu mwingine. STD sio ukimwi tu, hepatitis B ni mojawapo.Kwani usagaji unatatizo gani kwenye K? Kosa kuingiza nyama ya mtu katika K
Mkuu hiyo siyo UTI ni gonorrhea au kisonono. Nauhakika iliambatana na maumivu makali wakati wakukojoamkuu kama namfahamu huwa namwambia kabisa ili ajuee ili apunguze shobo hawa viumbe wamenipa UTI ambayo nilikuwa naisikia na nilikuwa sijawahiii kuumwa hata siku moja kwenye maisha yangu.
na siku nilijua UTI ni balaa ni pale nilipo ona uchafu unatoka na boxer kuchafukaa...
watatuuwa hawa watu.
Inatokana na maadili pia na shughuli zako. Naweza kukaa 7 months bila kusumbuana na mpenzi wangu. Maisha sio ngono.Kwa hiyo mkuu unaweza kukaa mwezi bila kugonga?
😂😂Unatka nikujibu unichambe sitaki😂😂😂Kwanini[emoji23][emoji23][emoji23], wakati nyie mnasema wanaume wote ni mbwa. The end justifies the means.
Kuna shida hapa si bureInatokana na maadili pia na shughuli zako. Naweza kukaa 7 months bila kusumbuana na mpenzi wangu. Maisha sio ngono.
Hiyo bado ni dalili ya UTI! Figo ukifika uko ujue sijui ulikuwa unachelewa wapi maana huko ni very chronic severe case.mkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno kwa nyuma mgongoni na kwa ndani ya mgongo.
Amina, Mungu akubariki.
Sindompaka ufike salama huo muda kama ukiamua kutumia huo ujana wako wa moto. Au we ukajua ukishautumia hauna consequences [emoji23][emoji23]. Hayo magonjwa kwavile siyo HIV na tunayatibia yanapona tunadhani hamna madhara. Ila kimsingi yanashusha probability yako ya kupata mtoto uwe mwanaume au mwanamke.Sasa huo ujana wa moto si ndo inabidi uutumie effectively ili ukifika huo muda ukapoa ukikumbuka ya nyuma unasema yes kazi niliifanya
Yapi hayo chief??Kuna shida hapa si bure
😂😂😂 mwanaume hachambi tunaongeaga ukweli. Halafu mbona mimi sijawahi kukufanyia hivyo dada yangu.😂😂Unatka nikujibu unichambe sitaki😂😂😂