Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Miaka mi3 without any dalili? Mhh haya mkuu [emoji119]
Kaswende, mwanamke huweza kukaa nayo miaka hata miaka ila anaweza kujagundua siku anapopata shida kupata mtoto maana yenyewe hula kizazi. So fanya routine checkup kama hujatulia ila kama umetulia, Mungu akubariki.
 
Kwani usagaji unatatizo gani kwenye K? Kosa kuingiza nyama ya mtu katika K
We, [emoji23][emoji23][emoji23] kwaakili yako ukajua mpaka penetration ndio STD unapata. Sio lazima braza, STD zingine ni contact tu with genital fluids au hata nyeti za mtu mwingine. STD sio ukimwi tu, hepatitis B ni mojawapo.
 
mkuu kama namfahamu huwa namwambia kabisa ili ajuee ili apunguze shobo hawa viumbe wamenipa UTI ambayo nilikuwa naisikia na nilikuwa sijawahiii kuumwa hata siku moja kwenye maisha yangu.
na siku nilijua UTI ni balaa ni pale nilipo ona uchafu unatoka na boxer kuchafukaa...
watatuuwa hawa watu.
Mkuu hiyo siyo UTI ni gonorrhea au kisonono. Nauhakika iliambatana na maumivu makali wakati wakukojoa
 
mkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno kwa nyuma mgongoni na kwa ndani ya mgongo.
Hiyo bado ni dalili ya UTI! Figo ukifika uko ujue sijui ulikuwa unachelewa wapi maana huko ni very chronic severe case.
 
Sasa huo ujana wa moto si ndo inabidi uutumie effectively ili ukifika huo muda ukapoa ukikumbuka ya nyuma unasema yes kazi niliifanya
Sindompaka ufike salama huo muda kama ukiamua kutumia huo ujana wako wa moto. Au we ukajua ukishautumia hauna consequences [emoji23][emoji23]. Hayo magonjwa kwavile siyo HIV na tunayatibia yanapona tunadhani hamna madhara. Ila kimsingi yanashusha probability yako ya kupata mtoto uwe mwanaume au mwanamke.
 
Back
Top Bottom