Hali imekuwa mbaya sana nyakati hizi, siku hizi UTI zimekuwa za kugusa tu, kama usipotumia Ndomu basi ujiandae kupata UTI, Kaswende, Gono hata HIV.Binafsi ndom siziwezi, inabidi niachane na ngono kabisa, japo nashukuru sijawahi kupata ugonjwa wa zinaa hata mara moja, ila tunapoelekea inaweza kuleta shida.
Unawezaje kupata UTI kama unatumia zana?UTI hata utumie condoms bro unaupata ule ugonjwa hauhitaji mchubuko wala nini. Laiti Ukimwi ungekua unasambaa kama UTI tungekwisha.
Hata wakati wa kuivua unaweza ipata.Unawezaje kupata UTI kama unatumia zana?
Maana ya UTI ni Maambukizi ya njia ya
Mkojo, sasa kama umetumia Kondomu kwa usahihi unawezaje kupata maambukizi hayo?
Unapoenda uwani na kutumia makopo ambayo Kwa namna moja yalikuwa chini au Yana bacteria wa UTI ukitumia na wewe lazma upate na ndio maana wanawake wengi wanapata maana wakijisaidia haja ndogo lazma watawaze wanajikuta wapo katika mazingira ya kupata ugonjwa mara nyingi kuliko wanaumeUnawezaje kupata UTI kama unatumia zana?
Maana ya UTI ni Maambukizi ya njia ya
Mkojo, sasa kama umetumia Kondomu kwa usahihi unawezaje kupata maambukizi hayo?
SanaVipi UKIMWI umeisha, kwa hiyo saivi ni kuhofia kuambikizwa UTI na gono tu? Duh! Ila hawa mademu wasafi na pisi kali ndio huvutia zaidi na haidhaniwi kuwa wana maradhi ya kuambukiza
Ugonjwa wa U. T. I, haupoSio uchafu ni ugonjwa
Mimi nasisitiza kama unataka muwe na muhusiano ya kudumu ni afadhar mshauriane mkapime afya ili muenjoy ,Kwa hali ilivyo mtaani, nashauri suala la matumizi ya Condom lipewe kipaumbele.
Huwezi kumtambua kwa macho.
Kuna mbinu za kufanya ili wasipate UTI.Mbna Gays hatuoni wakilalama kuwa wanaumwa UTI, ni wanaume tena hao straight ndo kila kukichaa wanalalama tena wanasema wamepata kwa wanawake.
Yaan kila kitu lazima muhusishe GAYS, khaaah
Duuuh 🙌🙌🙌Tigo ya mwanamke ni tamu sana Aidanna
Sasa unaficha nn, ili hali watu wanalalama na hilo tatizo? Means wanapata kwa njia hiyo, si uwafundishe wafanye kwa usalama ili wasipate hilo tatizo.Kuna mbinu za kufanya ili wasipate UTI.
Sitaki mwaga maelezo maana itakua nafundisha watu wafanye ngono ya kinyume na maumbile kwa usalama ili hali ni tendo lisilofaa kiimani.
Umesema ninwachafu wanatoa harufu SASA nakwambia kutoa harufu siyo uchafu utakuta MTU ana maambukizi lbada ya UTI na PID ndy unakuta MTU anatoa harufu.Ugonjwa wa U. T. I, haupo
Kwaiyo UTI ni ugonjwa WA wanawake Tu?na mwanaume akiupata kaambukizwa na mwanamke?Sasa mwanaume atapata UTI kwa njia gani nyingine?
Safi sana kuanzia Sasa atakua hatumii macho kupima afya ya mwingine..Visa vimekuwa ni vingi sana siku hizi watu kuachiwa Gono na uti Sugu kutoka kwa mabinti ambao hawakuwadhania kulingana na urembo na usafi waliokuwa nao watu hawaamini yani wamepataje.
Juzi kuna mkongo kaja ofisini kwangu baada ya kuadimika kwa wilki mbili hakuonekana mjini tulivyomuuliza shida nini akasema kuwa alikuwa anaumwa UTI sugu hadi akalazwa kahangaika kuutibu kwa laki 3, analalamika kuna binti anauza Duka la nguo la jirani ndio kamuambukiza jamaa alitupia voko na Dola za kikongo binti akaelewa na huyo binti ni pisi shombe shombe ya kwenda msafii ukimuangalia ila kamuachia mtu uti sugu wiki mbili yupo kitandani.
Jamaa anasema Congo huko kwao hakuna Uti ndio kaja kuipata hapa tukacheka sana, jamaa anatembea na condom kwenye walet kakoma haswaa.
11. Boda bodaMakundi ambukizi kwa mujibu wa taarifa toka kwa rafiki yangu mwenye Pharmacy mitaa ya Ubungo na Mawasiliano
- Mama lishe
- Wasaidizi wa mama lishe
- Wahudumu wa bar
- Wahudumu wa guest house
- Wasusi
- Wauza magenge ya mbogamboga na matunda
- Wapiga debe
- Polisi
- Mgambo
- Wasafisha kucha za akina mama stand
Inabidi kubaki barabara kuu na mama chanja, haha japo kuna kaugumu kake hapo. Ndomu mtihani sana sheikh!!Hali imekuwa mbaya sana nyakati hizi, siku hizi UTI zimekuwa za kugusa tu, kama usipotumia Ndomu basi ujiandae kupata UTI, Kaswende, Gono hata HIV.
Unaweza kumwamini mrembo wako, kumbe naye anakigawa kisiri siri, na vijana wa miaka hii wanavyopenda barabara za vumbi inakuwa ni kugusa tu umenasa.
Ukiweza bora kuishi kama Mtume Paulo tu ama kuwa mwanachama wa akina dronedrake 😅
Akuu naweza ota usikuSi tutazivua ID zetu au nije PM?
Sahihi kabisa, muhimu kubaki njia kuu.Inabidi kubaki barabara kuu na mama chanja, haha japo kuna kaugumu kake hapo. Ndomu mtihani sana sheikh!!
Uko sahihi MkuuMimi nasisitiza kama unataka muwe na muhusiano ya kudumu ni afadhar mshauriane mkapime afya ili muenjoy ,
Amini kwamba kabla hata hujaivaa condom unakuwa umesha jiweka kwenye risk ya kupata maambukizi kwa 60% unless labda mparamiane kama kuku iwe no romance no nini yani iwe vua ingiza toa vaa nenda,
ila mkisha engage romance tena deep romance ushauri wangu afadhari muwe mmepima
condom si msaada sana .
Na ndio maana pamoja na uwepo wa condom ukimwi bado unakuwa kwa kasi na maambukizi ya magonjwa ya zinaa yana kuwa kwa kasi zaid hujiulizi? Na condom nazo zinatumika hadi kwenye soko kuna mda zinakosekana
Usafi ni muhimu sana, ingawa kwa mazingira ya sasa UTI nyingi tunaibeba kupitia ngono zisizo salamaUnapoenda uwani na kutumia makopo ambayo Kwa namna moja yalikuwa chini au Yana bacteria wa UTI ukitumia na wewe lazma upate na ndio maana wanawake wengi wanapata maana wakijisaidia haja ndogo lazma watawaze wanajikuta wapo katika mazingira ya kupata ugonjwa mara nyingi kuliko wanaume