Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Ebu zipigie Nyagi kubwa uone kama kuna UTI, kaswende, gonorea au pangusa itakusogelea.....☹️Tusitishane aloooo....😠
 
Chemsheni mizizi ya minazi mnywe washenzi nyie ama mkikosa mnazi chemsheni majani ya miwa inatibu .U.T.I sugu.acheni kushindana na maku,kumamaku zenu.Mi kitu Huwa nafanya nikija kupiga show nameza Azuma na maji ya kutosha Huwa nkimaliza mkojo unakuwa umejaa na Azuma insaidia kusafisha zile mataka taka zake.Some time Huwa nasimamisha show napiga funda za maji mbili za kibabe theni ndo namuweka doggy style.acheni ufala nyie mafala.
 
Hueleweki. Mara useme sio ugonjwa wa zinaa in the same breath unasema wala tigo wanapata UTI, hiyo sio zinaa? Huko sio kujamiiana?
Pole sana mbona articles zipo for free soma uelewe vipi mwanaume anapata UTI kupitia ngono ya nyuma.

Ngono ya mbele haileti UTI bali magonjwa ya zinaa..ngono ya nyuma inabeba vyote UTI na STDs
 
Hiko ni kisa kimoja pekee.

Nawe uliambukizwa na pisi kali au umeweka uzi kuwadisi wanawake kwa ujumla wao?
 
Tunapata UTI kwa kujamiiana kwa back door na hiyo hupata hata wanaofanya ngono ya watu wa jinsi moja.

Kuna nadharia inasema unaweza kupata UTI mwanaume bila kuichomeka back door kama tu mfano mwanamke amejichokonoa ass kisha akajichokonoa mbele bila kujisafisha. Lakini bado tafiti zinahitajika zaidi kuthibitisha hilo kwa mujibu wa wataalamuna wenyewe.
Ila wanawaambukiza kwa kufanya nini? Maana Babu Njunju anasema mnapotoa
TiGo mnatoa na UTI kwa njia hio
vipi
 
Unakuwa kwenye risk ya kupata maambukizi kwa 65% kabla hata ya kuivaa hiyo condom - chukua hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…