Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

Hebu fafanua kidogo. Ulitakaje? Yaani wabebe fagio au jiko la mkaa?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Mdada anatoka zake Kigogo sambusa au Buza kwa lulenge na begi lake kubwa kwenye daladala mpaka Kipawa airport anashuka anaenda pale nje Terminal 3 anapiga picha zake za kutosha anageuza zake nyumbani na kuedit picha zile kisha anazipost mtandaoni.
Kama wanakuacha salama usihangaike nao, kula ugali wako relax
 
Kuwa slay queen ni kazi mkuu. Mtu anaenda Mwanza tu hapo anapost status kapendeza balaa halafu kashika passport location terminal 3. Kwa mtu asiejua yule binti anaendaga Mwanza anaweza akahisi kachelewa maisha wenzie wanaenda nje kila leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…