Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,142
Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake.
Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu"
Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja.
Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie.
Kazi kwelikweli.
Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu"
Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja.
Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie.
Kazi kwelikweli.