Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam. Lina maana nzuri tu. Kwamba 'Baba Chanja' ni Mwanaume Rijali na anayehudumia familia yake vizuri. 'Baba chanja wangu'Ok. Bila shaka lina maana nzuri tu
Wanawake wana visiraniAisee! Sijui kosa lake ni nini hapo