Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kuna binti hapa mtaani, ni mstaarabu sana. Nimeforce kadri niwezavyo mpaka nimepata mbususu yake iliyododa. Kabla ya kupata penzi lake tulikuwa ni marafiki tulioshibana sana, alikuwa akinishirikisha masuala yake binafsi kisha naangalia namna ya kutatua. Pia nilizungumza naye kuhusu mambo aliyoyapenda, mojawapo lilikuwa ni suala zima la ndoa
Binti alipenda sana ndoa. Akivutiwa sana na jirani yake aliyekuwa anaishi na mumewe kwa amani na masihara ya hapa na pale, aliishia kusema "waliobahatika kupata waume ndo hao, sie wengine tumekuja kusindikiza tu, maake waoaji siku hizi hakuna".
Baada ya kuwa nimeichezea mbususu yake vya kutosha, nikathibitisha kuwa iko na kiwango cha kuridhisha, mihemko ya mwili wake iko poa, ikabidi sasa nigusie suala la kumuoa. Siku nilipomuelezea alibaki kaduwaa tu
Kwa kufupisha story, niseme tu NIMEMPOTEZA. Yaani hata mbususu yake nimeipoteza pia, akijibu calls zangu anajikeep busy sana. Nimekwisha zungumza hata na mama yake, kaishia kuniambia nielewane nae, yuko radhi kuniachia binti ake hata bure kwa kuwa nimekuwa nao karibu, ananichukulia sawa na mwanae tu
Ila binti ndo kasharuka viunzi, haitaji tena ukaribu na mimi kisa mawazo ya ndoa😥