Siku kadhaa kupita bila majibu baada ya TelAviv kudundwa na ballistic kutoka Yemen kuna ujumbe mzito.

Hii balistic inavyozungumziwa bila hata kuonyesha imefanya nini ni kichekesho. Zile fikiria yale makombora ya Iran majibu yalivyoondoka na vichwa .

Vita saiv sio hata kuondoka na wanajeshi. Dawa ni kuondoka na wanaowatuma ndo maumivu yana penya kwani viongozi wengi wanafurahi kuwatanguliza watoto wa maskini waliokosa ajira kwa kuwaahidi vitu vya kufikirika wakati wao wakijineemesha kwenye makasri.
 
Nyie Watu mnawazia makalio Israel ilimuua Haniya Ndani ya Iran tena ndani ya Hotel ya Kijeshi... Ndio washindwe kufanya tukio lingine tena simple
Achana na haniya imeua rais wa iran
 
Ona tu kwamba hali ya kivita inabadilika.Haikutarajiwa hata siku moja kutokea mtu wa kuirushia kitu Israel
Hivyo kombora kutua katikati ya Israel na kusababisha moto mkubwa sana ni tukio kubwa na usilipuuze.
Fikiria kombora lile lililoshindikana kulidungua au jengine likirushwa na likatua juu ya nyumba ya Netanyahu na nyumba za jirani.Wewe utakuwa na jibu gani la kutuletea hapa.
 
MBWA MPAKA MWISHO WA ULIMWENGU NYIE MTAFUTIKA ISRAEL ITABAKI PALE PALE ALISHINDWA FIRAUNI NDO UJE WEWE UIFUTE
Firauni alifanya nini na ikawaje baadae?
Bani Israil ni waislamu kutokana na ukoo wa Yaaqub.Firauni kwa ukafiri wake na kutaka kushinda na Allah aliwadhikisha sana bani Israil.Mwishowe wakaokolewa na Firauni kupata adhabu ya fedheha.
Baada ya kuokolewa wakatokea bani Israil waliomdhihaki Mungu na kukosha shukurani.
Hao ndio mayahudi ambao sera yao ya kumkosea heshima Mungu inaendelea na wametajwa kwenye Qur'an kuwa wamelaaniwa.
Wakiendelea na sera yao hiyo ya kudhulumu waislamu na kuitesa dunia basi dawa yao iko jikoni.Hizi kejeli zenu yawezekana hamtoishi mkashuhudia watakavyotiwa mkononi lakiini muhimu hawatodumu na hali hiyo.
Na vile vile upo uwezekano wengi wakashuhudia bado wakiwa hai
 
Balstic yenyewe mnayoisifia mpaka misikitini imeishia kuchoma nyasi za israel basi mnajipongeza ila israel ikiwatwanga mnalia lia kutafuta huruma ya dunia
 
Na yeye arushe Tehran basi
Arushe ya nini akati israel inapigana kisayansi mfano imemgaragaza Ibrahimu Raisi na helkopta huko korongoni baadaye imemlipua Ismail Haniyeh hapo hapo Teheran
 
Arushe ya nini akati israel inapigana kisayansi mfano imemgaragaza Ibrahimu Raisi na helkopta huko korongoni baadaye imemlipua Ismail Haniyeh hapo hapo Teheran
Usijali wanaume wameamua hakuna kurudi nyuma wala kuinua mikono juu
 
Unaropoka nini aisee!?
Na ile sio ballistic ni hypersonic missile.
Kuna majeruhi watano walipatikanika na station ya reli iliharibiwa.
Halafu usituongopee Iran alivyorusha makombora Israel alijaribu kulipua kinu cha nuclear Isfahan akafeli.
Baada ya hapo hakufanya lolote.
Kama unataka kusingizia kifo cha rais wa Iran kimesababishwa na Israel acha huo utoto.
Israel haihusiki na kifo cha rais wa Iran.
 
Arushe ya nini akati israel inapigana kisayansi mfano imemgaragaza Ibrahimu Raisi na helkopta huko korongoni baadaye imemlipua Ismail Haniyeh hapo hapo Teheran
Israel ilikanusha kutokuhusika na kifo cha Ibrahim Raisi.
Embu wacheni kushikilia stori za mashudu.
 
Balstic yenyewe mnayoisifia mpaka misikitini imeishia kuchoma nyasi za israel basi mnajipongeza ila israel ikiwatwanga mnalia lia kutafuta huruma ya dunia
Wale majeruhi watano na miundombinu ya reli ikiwemo station ndio nyasi??
 
Balstic yenyewe mnayoisifia mpaka misikitini imeishia kuchoma nyasi za israel basi mnajipongeza ila israel ikiwatwanga mnalia lia kutafuta huruma ya dunia
Taarifa za CNN hizo kituo cha umeme kilisambazwa na ndicho walicho taget
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…