Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

Pole sana mkuu, mpe mama pole nyingi. Sononeko la moyo halielezeki ktk hali hii
 
Gentleman,
hizo missed abortions ni natural complications au made attempt za mbeba ujauzito, kwa mujibu wa daktari?πŸ’
 
Inauma sana hii mimi imenikuta mwez wa2 mwaka huu mimba imetolewa kwasabab za kiafya ya mchumba😭😭 pole sana inauma
 
Gentleman,
hizo missed abortions ni natural complications au made attempt za mbeba ujauzito, kwa mujibu wa daktari?πŸ’
Hakuna missed abortion inayoanzishwa na mbeba mimba. Ni neno la kimatibabu kumaanisha mimba imeharibika tumboni pasipo na dalili yoyote. Ni kama zamani walivyokuwa wanasema "ameharibu mimba" sio kwamba ameharibu mama ila kumaanisha mwili wa mama ndio umeharibu ile mimba, kwa maana ya kuikataa.
 
wale wanaopoteza maisha wanapokua kwenye harakati za kutoa mimba ambazo hawazitaki kwa makusudi kitendo kile kinaitwaje my lady?

Lakini pia yule ambae anajaribu kutoa mimba mara kadhaa kwa miti shamba na kisayansi na inashindikana but baadae kabisa inaporomoka yenyewe, hii pia inaitwaje?πŸ’
 
Ile ni induced abortion. Sio missed abortion. Missed abortion ni kama hiyo nilivyoeleza. Asante
 
Pole sana kwa changamoto hiyo..lakini amini kuwa hilo jambo halitatokea tena. Fanyeni ibada sana na fuatilia afya. Mimi yamenikuta sana haya matukio mimba zikiwa kubwa kabisa. Sitamani mwanamke mwingine apitie
 
Why mwili uikatae mimba?
 
Why mwili uikatae mimba?
Sijui. Hizo ni misamiati ya kimatibabu tuliyoikuta na nafikiri inakwenda inaisha. Ni kama zamani wakati wa ujenzi wa barabara wanaweka kibao "men at work" naona wanaharakati wakaingilia kati. Kwani wanawake hawafanyi kazi πŸ˜…πŸ˜…. Sasa imekuwa "kazi/ujenzi unaendelea"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…