Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

Siku kama hizi zipo tu kwenye maisha ila inauma sana sio siri

Neno kurogwa huku halipo na halitumiki kabisa, hilo neno wanalitumia watu dhaifu wenye lengo la kuibia wengine.
Mathalani watu wanaopiga propaganda za dini na uganga uchwara yaani matapeli.

Sasa mkuu kama tu hujui uhusiano wa mali, kuzimu na vichanga nitatumia lugha gani mpaka uelewe?

Kifupi inahitaji uzi kabisa kulielezea hili ngoja niitulize miamba kwanza.
Ukianzisha uzi naomba nitag plz.
 
UPDATE

Nimepoteza hatimae, Mashetani yameshinda aisee..
Hatukua na namna vita hii imeishia hapa na mtoto ametoka akiwa mfu.
No more fights against these devils untill I get stronger again, by this time I'm done.
 
Pole kwako,,pole zaidi kwa mama mtoto
 
Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa,
Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion.
Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
Poleni Sana sana
 
Back
Top Bottom