Ukianzisha uzi naomba nitag plz.Neno kurogwa huku halipo na halitumiki kabisa, hilo neno wanalitumia watu dhaifu wenye lengo la kuibia wengine.
Mathalani watu wanaopiga propaganda za dini na uganga uchwara yaani matapeli.
Sasa mkuu kama tu hujui uhusiano wa mali, kuzimu na vichanga nitatumia lugha gani mpaka uelewe?
Kifupi inahitaji uzi kabisa kulielezea hili ngoja niitulize miamba kwanza.
Polee mkuu ...Inauma sana hii mimi imenikuta mwez wa2 mwaka huu mimba imetolewa kwasabab za kiafya ya mchumba😭😭 pole sana inauma
Sawa mkuu.Ukianzisha uzi naomba nitag plz.
PoaaSawa mkuu.
UPDATE
Nimepoteza hatimae, Mashetani yameshinda aisee..
Hatukua na namna vita hii imeishia hapa na mtoto ametoka akiwa mfu.
No more fights against these devils untill I get stronger again, by this time I'm done.
Poleni Sana sanaNasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa,
Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion.
Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.