Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

Mnhh Accountants/Financial Analysts mna kazi sana,lol, Maendeleo hayaletwi na Demokrasia, ila Maendeleo yanaletwa na Mafisadi sio??!!!...hizo hela walizojimbikizia zingekuwa injected kwenye shughuli za Maendeleo, si tungekua tumefika mbali...?lol

Mnhh Accountants/Financial Analysts mna kazi sana,lol, Maendeleo hayaletwi na Demokrasia, ila Maendeleo yanaletwa na Mafisadi sio??!!!...hizo hela walizojimbikizia zingekuwa injected kwenye shughuli za Maendeleo, si tungekua tumefika mbali...?lol
lol,,Wacha uvivu wa kufikiri ,kutafakari na kufanya tafiti dada yangu,maalezo yako yanasikitisha sana, bad news ndio ya wengi,

Hilo la kuwa shughulikia maafisadi ukitafakari kwa makini maelezo yangu linaangukia kwa benevolent dictator mfano lee kuan yew(from third world to first:Singapore story)aliwashughulikia mafisadi na rushwa bila kutazama sura,huku akiandamwa na watetezi wa demokrasia na huma rights,weka kichwani hii -nchi maskini huwezi kupunguza ufisadi na rushwa asilimia tisini bila kuvunja human rights'1948' na utaandamwa kiongozi na taasisi hizi,

SJUI nikuache na kicking away the ladder(ha joon chang) au nikuache na why nation fails au nikuache na mwl nyerere:


Wacha nikuache na JK NYERERE"USIDHANI KILA KING'AACHO UKADHANI NI DHAHABU,Kama wao wanakunywa coca na sisi pia tunywe coca"
 
CCM haiwezi kuachia madaraka hapa nchini. Sio asubuhi, mchana, jioni wala usiku.

Kupiga kura japo ni haki yako lakini haibadilishi chochote.

Sijawahi na sintokaa nipige kura katika uchaguzi mkuu au mdogo.
 
Kutoka kwenye trap ni kupitia strong resistance, kama ushasoma Historia za Kiafrica kuna matukio ya aina hio ambayo yalitokea baina ya raia na watawala kupinga uonevu na udhalimu.

Kwa stage tuliopo bila upinzani mkali utakaopelekea umwagaji damu hatutatoka hapa tulipo. Mabadiliko hayatakuja kwa hisani maana walioshikilia dola hawawezi kuiachia kirahisi kuyapisha hayo mabadiliko sababu utaratibu uliopo sasa unawa favor wao zaidi. Wenyewe wanaita kulamba asali
 
Umegusia mule mule, kinachotakiwa kubadilisha hali ni the hard way. Siku ambayo VX V8 hazitaendesheka, mitaa imejaa vurugu, nchi haitawaliki tena ndio wasaa ambao tutakaa kwenye meza ya maridhiano na kupata mabadiliko ya kweli na sio huu usanii unaofanyika sasa.

Uchaguzi wa huru na haki ungeweza kuwa suluhu in the soft ways ila watawala huwa wanaunajisi kwa kuhujumu efforts za raia wapiga kura. Kinachofanyika ni kiini macho sababu huwa wanamuweka mtu wao at the end kwa kuwa wana influence na tume. Wether you like it or not jina wanalolitaka wao ndio litashika hatamu.
 
Kiongozi mzuri wa aina hio hawezi kutoboa katikati ya kundi la mafisi. Watamu overcast na ikitokea ameshikilia kijiti like the late CEO na anafanya kile ambacho the rest members of the Cabinet kinawaumiza lazima watamu assasinate.

Hili halijaanzia Tanzania its been there for years katika nchi zilizoendelea sie tumefanya kuiga tu. Ukiwa mzalendo wanakuua ili waendeleze ubadhirifu na ufisadi wa kodi za wananchi na kufuja.
 
Sio chama nchi imekuwa ya Oligarchs mzee. Ukitazama kwa makini utagudua hilo. Kuna genge ambalo limejipambanua kama "Wenye nchi" na wao ndio wana influence kila kitu uonacho wewe kinaendelea hapa.
It's so frustrating, nchi ya watu 60m+ tunaongozwa na chama hicho hicho toka tanu + ccm sijui kama haijafika 60yrs. It's sad!
 
Kwa kweli CCM influence yake ni kubwa mno, hata tukisema tupambane kwa mtutu bado wameishikilia TISS,Police, Mahakama, sana sana wachache wataishia kupewa kesi za Ugaidi...
Sidhani kama watu 60M mtazidiwa na polisi Million 1? Kuna watu watapoteza maisha na kuwa vilema ila its the price that we have to pay to make a change. Tunakwepa kuilipa hii price na ndio maana tume stack sababu kuna watu wanataka wapiganiwe wao wakiwa wamekaa tu wanaangalia movie. Hakuna umoja kabisa. Watu wakae waone weww unaenda jela na kutoka kama Mbowe. Mwisho wake ameamua kulamba asali tu na kuwaacha vijana wake kwenye mataa eti wasitumie lugha kali dhidi ya serikali ya mama wawe watiifu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ila naamini habari zikienda mainstream tu kwenye media umoja wa mataifa wakaona kinachoendelea nchini naamini kutapatikana suluhu ya haraka na serikali lazima itafute maridhiano na raia. Matumizi ya nguvu hayatasaidia.
 
ccm ,sio ngumu kuitoa madaraka Kama tunavyofikilia,tatizo kubwa la watz au wanasiasa wa tz ,wa uoande wa pili they are weak.taktizo lao kubwa ni udhaifu.... udhaifu....udhaifu.....uroho....uroho....,kwa wapinzani wenye hizi tabia ,ambao ni almost 99% wako hivyo . Sahau hii ndoto ya kukitia madarakani CCM!!! ccm itaendelea kuwa imara miongo na miongo,kwa kutumia loophole za udhaifu,na uroho wa wapinzani!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninawasoma wakuu,

Labda suluhisho ni kwenda kwenye Machafuko na kupoteza baadhi ya watanzania wenzetu kwenye Machafuko hayo, ila tunawa pressure vipi watanzania wafikie kuona enough is enough tuingie kwenye vita?????........i mean watafikiaje hio boiling point?.....

Na je tunawainfluence vipi nchi za nje kuweka pressure ndani kwetu?
 
Sio chama nchi imekuwa ya Oligarchs mzee. Ukitazama kwa makini utagudua hilo. Kuna genge ambalo limejipambanua kama "Wenye nchi" na wao ndio wana influence kila kitu uonacho wewe kinaendelea hapa.
Hao oligarchs wapo within ccm mkuu, there's no way ukaenda kinyume na ccm uka survive. Ndio unaona Lowassa na Sumaye wakarudi kwenye chama ili survival yao iendelee. Yaani everything depends on chama, your involvement kwenye chama ndio inakupa nguvu au kukupoteza.

Hapa kirusi ni ccm, hao oligarchs wametengenezwa na hiki chama dhalimu.
 
Kuanzishwe tume huru, itakayo ratibu kura za maoni ya wananchi kwamba tunataka katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi. Kura hizo ziwasilishwe kwa njia ya SMS na matokeo kutangazwa na vyombo vya habari. 2/3 majority iwe ndio picha halisi ya wapiga kura. Kura zitawakilishwa kwa mikoa yote ya Tanzania bara pekee.
 
wapiga kura wengi bado ni mambumbu tu, hawana hata uchungu na nchi yao
 
Watu m60 dhidi ya watu gan au dhidi ya nini!
Mnaweza kuwa mil 60 nyumbu dhidi ya simba 7! Hali iko hivi kwa sasa! Kumbuka polis si adui wa maendeleo na mabadiliko. Wao pia ni wahanga wa hali na viapo vyao.
Nguvu lazma ichanganyikane na akili.
Kwa bahati mbaya sana hatujawai kuwa na upinzan wa kweli wala raia wanaojua haki na wajibu wao. Ni wachacche mno. Elimu! ELIMU! ELIMU!
Mbowe ni capitalist angeweza kutuvusha kama Hichilema.
Tatizo ni huwez kuwavusha vipofu wa kias hiki, utazama nao! Nae bahat mbaya zaid akawa ni wa soft way hana mtaji wa quasi militia. Na hana mtaji wa external back up ku opt hardway.
Lisu ni mbadala halis na mpinzan wa kweli. Historia yake inamdhamini sana. Tatizo anaamin katika sheria na mijadala on a coffee table.
(Lakin sheria zingekuja baada ya kuwepo uwanja wa pa kuzitumia) He is just a political employee! Hapa ndo utajua faida ya mwanajeshi kuwa mwanasiasa kama maziwa makuu walivyo.
Mpaka sasa hakuna mwanasiasa timam wa kufia jamii ya raia kama ya Tanzania. atapotea bila legacy.
Sasa ni au tuache nature ituamulie hatma au the hard way!
If you can't conquer them , join them!
nataman kuwa upande wa anayekula vizur until further notice and Father notices!
Tusisahau mabadiliko yoyote ya kitaifa hayatabadiri kias cha asiyefanya kazi akala.
Kuna na external factors ndo mbaya zaid.
Manake ni hata hiv hiv ukipambana na kazi zako unaweza kutumia oxygen vizuri.
 
Kwan Mtanzania anahitaji kiongozi/Viongozi gani??

Hawa waliopo hawafai??

Huyo kiongozi au Viongozi wazuri ambao Mtanzania anawataka wako wapi?, Wana Sifa gani?, Wamejificha wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Start war. Naunga hoja.
 
Siku watanzania wote watakapowajibika ndipo ccm itatoka madarakani. Upinzani walijaribu hawakuungwa mkono, mange alijaribu hakuungwa mkono. Kwa sasa tuendelee kuburuzwa kwanza akili za watu bado hazijaamka.
 
Hawa mafisadi hawawezi kuondolewa kwa sanduku la kura, wala kwa kelele za mitandaoni, ni either maandamano au kuingia msituni.
Umenena kama anayemaanisha na unaeleweka. Mengine ni porojo.
Maandamano hutegemea kiwango cha uthubutu cha wengi. Lakin njia ya kuondoa unazi ni opereshen inayohitaji tu uthubutu wa wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…