Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Mnhh Accountants/Financial Analysts mna kazi sana,lol, Maendeleo hayaletwi na Demokrasia, ila Maendeleo yanaletwa na Mafisadi sio??!!!...hizo hela walizojimbikizia zingekuwa injected kwenye shughuli za Maendeleo, si tungekua tumefika mbali...?lol
lol,,Wacha uvivu wa kufikiri ,kutafakari na kufanya tafiti dada yangu,maalezo yako yanasikitisha sana, bad news ndio ya wengi,Mnhh Accountants/Financial Analysts mna kazi sana,lol, Maendeleo hayaletwi na Demokrasia, ila Maendeleo yanaletwa na Mafisadi sio??!!!...hizo hela walizojimbikizia zingekuwa injected kwenye shughuli za Maendeleo, si tungekua tumefika mbali...?lol
Hilo la kuwa shughulikia maafisadi ukitafakari kwa makini maelezo yangu linaangukia kwa benevolent dictator mfano lee kuan yew(from third world to first:Singapore story)aliwashughulikia mafisadi na rushwa bila kutazama sura,huku akiandamwa na watetezi wa demokrasia na huma rights,weka kichwani hii -nchi maskini huwezi kupunguza ufisadi na rushwa asilimia tisini bila kuvunja human rights'1948' na utaandamwa kiongozi na taasisi hizi,
SJUI nikuache na kicking away the ladder(ha joon chang) au nikuache na why nation fails au nikuache na mwl nyerere:
Wacha nikuache na JK NYERERE"USIDHANI KILA KING'AACHO UKADHANI NI DHAHABU,Kama wao wanakunywa coca na sisi pia tunywe coca"