Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

Siku Mtanzania atakapotumia haki yake kumchagua kiongozi anayemtaka ndio tutaona Maendeleo ya Kweli Tanzania

Hii nchi tataizo lipo kwa vijana they know nothing about civil Rights sasa how comes Mtu mwenye miaka 70+ km kinana au Jk kuwa na influence ktk nchi yetu ...Vijana hawajitambui wanawaza ngono 24/7 na sasa hivi Ccm imeleta Mpira so ningumu mtu anayewaza ngono na Simba na Yanga kusimama kwa Ajili ya kuondoa lichama chakavu.

Nachokiona Ccm itatawala Hadi miongo minne so tusubir miaka ijayo 40
 
Kutoka kwenye trap ni kupitia strong resistance, kama ushasoma Historia za Kiafrica kuna matukio ya aina hio ambayo yalitokea baina ya raia na watawala kupinga uonevu na udhalimu.

Kwa stage tuliopo bila upinzani mkali utakaopelekea umwagaji damu hatutatoka hapa tulipo. Mabadiliko hayatakuja kwa hisani maana walioshikilia dola hawawezi kuiachia kirahisi kuyapisha hayo mabadiliko sababu utaratibu uliopo sasa unawa favor wao zaidi. Wenyewe wanaita kulamba asali

Naona swala lililojirudia hapa kupata Demokresia yetu ni mpaka Mtutu wa bunduki,

I still think tuna kazi ya kuwaamsha watu wajue kinachoendelea...

Kama watu wengine wangekua na awareness ya ufisadi unavyohujumu uchaguzi na nchi.....then kwa mfano huu mgogoro wa Wamasai ingetosha kabisa to get the ball rolling.....

Tatizo una create vipi hio awareness ndani ya Jamii kama kila Fisadi anahakikisha hufanyi hivyo, na pia kama TISS inashikiliwa na mafisadi, hata hio vita unaianzaje?? si TISS watajua na kuwaambia Mafisadi, then unakuwa silenced for good...lol...
 
Rebecca a.k.a Beck a.k.a Rabi a.k.a mwalimu,Lol.
Machozi yako nimeyaona,lol.
Unaumizwa na hii hali,lol.
Unataka mabadiliko,lol.
Basi yatakuja wakati ukifika na haupo peke yako,lol.
Ila umeumiza kichwa sana kufikiri ni kwa jinsi gani tutoke katika mkwamo huu unaozidi ule wa IST iliyozama ktk tope na tairi zote kuishia kabisa,lol.

Kaka yetu,aliwahi kutuelekeza njia(japo naye hakuwa na utayari)
Alisema ELIMU.
Yaani yule bibi yako kule Nanyumbu angekuwa na elimu sahihi juu ya nchi yake,uchumi wake,jamii yake mahitaji yake na hata UHURU wake,basi asingekubali kupelekeshwa kumchagua kiongozi na GENGE(et vyama vya siasa)siye na dira!
Hivyo elimu ikishasambaa kote na kwa wote,basi tutafika tuendako,LOL!
 
Hicho ndio kikwazo ukianza spread awareness kifungu cha uchochezi kinakuhusu kisha unapotezwa
 
'Those who vote decide nothing. Those who count the vote decide everything.'
- Dictator Joseph Stalin.
 
Hao oligarchs wapo within ccm mkuu, there's no way ukaenda kinyume na ccm uka survive. Ndio unaona Lowassa na Sumaye wakarudi kwenye chama ili survival yao iendelee. Yaani everything depends on chama, your involvement kwenye chama ndio inakupa nguvu au kukupoteza.

Hapa kirusi ni ccm, hao oligarchs wametengenezwa na hiki chama dhalimu.
Kwahio suluhu ni kukiua CCM tu kisiwepo kwenye ramani
 
Kwahio suluhu ni kukiua CCM tu kisiwepo kwenye ramani
Tuwe na uthubutu kama hapo Kenya tu, wala sio mbali mkuu. KANU ya Kenya kimekuwa chama cha kawaida tu, hakina nguvu yoyote kwa sasa.

Je, wenzetu Kenya walifanyaje walau kuweza kukitoa madarakani, wakaweza kufanya amendments za katiba yao?(japo tunaambiwa it's a very corrupt country) lakini ndio economy powerhouse ya EAST AFRICA.
 
Tatizo la kwanza Tanzania hatujui tunataka nini.
 
Rebecca a.k.a Beck a.k.a Rabi a.k.a mwalimu,Lol.
Machozi yako nimeyaona,lol.
Unaumizwa na hii hali,lol.
Unataka mabadiliko,lol.
Basi yatakuja wakati ukifika na haupo peke yako,lol.
Ila umeumiza kichwa sana kufikiri ni kwa jinsi gani tutoke katika mkwamo huu unaozidi ule wa IST iliyozama ktk tope na tairi zote kuishia kabisa,lol.

Kaka yetu,aliwahi kutuelekeza njia(japo naye hakuwa na utayari)
Alisema ELIMU.
Yaani yule bibi yako kule Nanyumbu angekuwa na elimu sahihi juu ya nchi yake,uchumi wake,jamii yake mahitaji yake na hata UHURU wake,basi asingekubali kupelekeshwa kumchagua kiongozi na GENGE(et vyama vya siasa)siye na dira!
Hivyo elimu ikishasambaa kote na kwa wote,basi tutafika tuendako,LOL!
Mkuu ni kweli ELIMU ingeweza kumsaidia bibi yangu afanye maamuzi sahihi...lol

Ila huku Jamiiforums kama umenotice kuna sentensi iko very common; Ujinga wa watanzania ni Mtaji wa CCM...lol

CCM inatumia ujinga wa watanzania kufanya ufisadi, na katika kulinda ufisadi CCM itahakikisha watanzania wanabaki mambumbumbu, Yanajilimbikizia mali ambazo shule zingejengwa a lot of people wangepata access to Education, specific Elimu ya Uraia, ambayo kila Raia angekuwa nayo, asingefanywa Mdoli kwenye Nchi yake mwenyewe.... 😡

Yote yana Mwisho...😳
 
Hello Great Thinkers....

Moja ya vitu vilivyojirudia kutoka kwa wachangiaji kwenye hii topic niliyoiandika siku chache zilizopita ni jinsi Tanzania kulivyo na Maigizo kwenye uchaguzi... unaweza kupitia Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Kwamba kila Uchaguzi ni Maigizo tu, kwamba Kiongozi/Rais tayari anakua ameshawekwa, kinachoendelea ndani ya Uchaguzi ni Maigizo tuonekane na sisi tuna exercise demokrasia.

Wengine wakasema, Mafisadi yana Influence kubwa ndani ya nchi, wameiteka TISS, Mahakama, na vyombo vingine..ambavyo badala ya kuserve wananchi vinaserve Mafisadi.

Majina Mafisadi, wengine wanaita 'deep state' n.k siyo Mageni, LOL.

Huu ukiritimba ambao uko deep rooted kwenye Nchi yetu unatakiwa Uondolewe.

It makes me sick kuona bibi yangu kule Mazimbu,lol anajikongoja kwenda kupiga Kura ( sijui anamchagua nani, [emoji3] [emoji3] [emoji3] ), kumbe kuna lifisadi limoja limetulia kwake, linamsanifu tuu....😡😡😡

Mbaya zaidi Maendeleo kwa bibi huyu na wanaomzunguka ni hafifu!

Siku tutakapopata Uchaguzi huru, tukamchagua kiongozi mzalendo, Maendeleo Tanzania yataenda kwa speed ya Rocket!

Nakuja kwenu Great thinkers.

Tunaondoaje hizi tawala za kifisadi ambazo ziko deep rooted kwenye Jamii yetu.

Mimi sidhani watanzania wote hatujui kabisa jinsi ya ku deal na hawa Culprits!

Somewhere Mtanzania mmoja ana idea jinsi ya kutoka kwenye hii trap,

Come Foward please...lol

Any information is useful...lol

Karibuni, lol
UPO SAHIHI MKUU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom