Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

utekaji ni dhana tu,
ila vipi ikiwa mtekwaji ametekwa na badaa ya kufumaniwa ana mke wa wenyewe? watu wengine hawajui kuongea ni vitendo tu..

vip ikiwa mtekwaji ametekwa na alowadhulumu kwenye biashara zao.. Kuna watu hawamkubali kudhulumiwa kizembe, unamdhulumu fedha anakudhulumu maisha...

vip ikiwa ni mambo ya uchaguzi wa ndani ya chama kinachofanya uchaguzi sasa, na mtu mwenye historia ya kukatisha maisha ya wengine kwa sababu ya uongozi anajulikana ...

hiyo ya sijui jeshi la polisi eti litababaika na uzushi wa masuala ya utekaji, ili liache kufanya kazi yake vizuri, labda sio Jeshi la Polisi Tanzania.

Jeshi la police Tanzania litaendelea kutekeleza wajibu wake wa kikatiba kwa mujibu wa sheria bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
 
Kwahiyo unatetea utekaji? Si uhalifu huo hata kama amedhulumu au kufumaniwa? Ndiyo maana nikasema unatakiwa upelekwe MIREMBE.
 
Yaani hilo bandiko lako ndiyo unaliita fikra nzito? CCM wanawalisha nini?
ikiwa ni fikra nyepesi, muerevu anapaswa kuweka fikra mbadala nzito zaidi...

hayo mengine ya kuhamisha goli mie simo gentleman 🤣
 
Kwahiyo unatetea utekaji? Si uhalifu huo hata kama amedhulumu au kufumaniwa? Ndiyo maana nikasema unatakiwa upelekwe MIREMBE.
sitetei dhuluma kwa maisha ya mtu au binadamu yeyote kukatishwa na binadamu mwezake mwingine.
Huo sio ubinadamu na sio utu, ni unyama. Na vitendo vya watu wa aina hii vinafaa kulaaniwa ni kila Mtu...

Ile ambayo siwezi kukubali kama mwanadiplomasi mbobevu na mwanasiasa mwandamizi wa siasa za vyama, siwezi kuburuzwa na nonsense narratives..

eti sijui kitu Fulani tunadhani kimefanywa na so and so kwa maslahi binafsi au ya kisiasa...

wacha uchunguzi ufanyike ukweli ubainike gentleman 🐒

mimi siamini ushirikina na sikurupuki kama nyumbu na wala sina Mihemko 🐒
 
ikiwa ni fikra nyepesi, muerevu anapaswa kuweka fikra mbadala nzito zaidi...

hayo mengine ya kuhamisha goli mie simo gentleman 🤣
Katika hali yako unaweza kutofautisha fikra nzito na nyepesi? Kama profesa wenu alimuita Magufuli mheshimiwa Mungu wewe Kanjunju utakuwa katika hali gani?
 
Pole kwa kufiwa na mzazi na watu wako wa karibu, vifo navyozungumzia ni vile vinavyodababishwa na polisi ama kwa kutekwa au kuuawa bila sababu ya msingi.
 
Unahitaji uchunguzi gani wakati kuna ushahidi wa kutosha kuwa baadhi ya matukio ya utekaji yanafanywa na vyombo vya dola?
 
Unahitaji uchunguzi gani wakati kuna ushahidi wa kutosha kuwa baadhi ya matukio ya utekaji yanafanywa na vyombo vya dola?
ona sasa tatizo lilipo 🤣🤣

eti unahitaji uchunguzi gani 🤣
masuala haya yanahitaji utaalanmu, yanahitaji umakini, yanahitaji subra na ustahimilivu wa kiwango cha juu mno. sio kukurupuka kama nyumbu...

Unasema ushahidi gani, wakati mashahidi wenyewe tena watoa taarifa kabisaa wa mwanzo,

mpaka walazimishwe na polisi kutoa ushahidi wakati wao ndio waliokua watu wa kwanza kuripoti matukio haya,

tena walikua wakiripoti sehemu ya mwanzo na ya mwisho wa tukio, TU.ili kujiridhisha,

Mtu anaitwa polisi ili tu aeleze anajua nini hapo katikatika kilifanyika nini kwa huyo alie uawa, jamaa anadinda na kuwagomea polisi kabisaa, why? Mbona anazidisha utata sasa 🤣
 
Utata?
 
23 September
kesho ni siku ya kazi,
wazururaji watakaoshughulikiwa vizuri sana na Jeshi imara la polisi nchini, ni wale tu watakao kaidi ilani na maelekezo ya polisi, wale jeuri na wenye kiburi cha kutokutii sheria bila shuruti 🐒
 
Pole kwa kufiwa na mzazi na watu wako wa karibu, vifo navyozungumzia ni vile vinavyodababishwa na polisi ama kwa kutekwa au kuuawa bila sababu ya msingi.
nikithibitishiwa hilo bila kufuata mkumbo wala uelekeo wa kisiasa,

siwezi kusita hata sekunde moja, wala kuvumilia kuungana na waTanzania wengine kulaani uhusika au uzembe kwa chombo chochote cha umma kinachotuhumiwa kuhusu matukio hayo.

Gentleman,
mimi ni mtaalamu mbobevu. sisukumwi na hisia au huruma za kundi Fulani la kisiasa kuamini eti jambo Fulani lipo hivi au vile..

Infact,
nafanya utafiti hivi sasa, nikijiridhisha nitakua upande wa haki bila mbambamba yoyote kwa nguvu zangu zote 🐒
 
Nawe unalitaja jina lililo kuu huku ukitetea ukandamizaji na uvunjifu wa haki tena za kikatiba... Nchi imejaa Majinga yanayojificha kwenye kichaka cha dini!!! Shameless traitors!!
 
Katika hali yako unaweza kutofautisha fikra nzito na nyepesi? Kama profesa wenu alimuita Magufuli mheshimiwa Mungu wewe Kanjunju utakuwa katika hali gani?
unahamisha magoli au umeishiwa hoja gentleman 🤣
 
Nawe unalitaja jina lililo kuu huku ukitetea ukandamizaji na uvunjifu wa haki tena za kikatiba... Nchi imejaa Majinga yanayojificha kwenye kichaka cha dini!!! Shameless traitors!!
muerevu mbona kama umebaki na mihemko tu au ni mshirikina wew?

maana huna mawazo mapya wala fikra mbadala, juu ya hoja mahususi mezani🐒

wengine ni wataalamu,
hatuendeshwi kwa hisia wala huruma za makundi yenu ya kisiasa. Tunatumia facts, tena baada ya tafiti za kina kua upande fulani wa jambo mahususi 🐒

Na kwa Neema na Baraka za Mungu ndio mama tupo hivi tulivyo
 
Unachoweza ni kuposti vinyani na kujipendekeza kwa kusifu viongozi madarakani huku ukilitumia jina kuu kilaghai😏😏😏
Uchawa ni tabia za kishe... nzi sn usikubali kutumia step up like a man!!
 
Unachoweza ni kuposti vinyani na kujipendekeza kwa kusifu viongozi madarakani huku ukilitumia jina kuu kilaghai😏😏😏
Uchawa ni tabia za kishe... nzi sn usikubali kutumia step up like a man!!
mie,
mihemko, ushirikina na kuporomosha matusi siwezi gentleman 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…