Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
utekaji ni dhana tu,Utulivu kwenye nchi yenye utekaji? Watekaji wanakuja na mitutu wanateka basi kama tupo gaza au goma unasema kuna amani? We unafikiri congo yote wanapigana? Kuna semehu congo hawajuhi hata kama kuna vita ,je utasema congo kuna amani? Unatakiwe upelekwe MIREMBE kwa matibabu.
ila vipi ikiwa mtekwaji ametekwa na badaa ya kufumaniwa ana mke wa wenyewe? watu wengine hawajui kuongea ni vitendo tu..
vip ikiwa mtekwaji ametekwa na alowadhulumu kwenye biashara zao.. Kuna watu hawamkubali kudhulumiwa kizembe, unamdhulumu fedha anakudhulumu maisha...
vip ikiwa ni mambo ya uchaguzi wa ndani ya chama kinachofanya uchaguzi sasa, na mtu mwenye historia ya kukatisha maisha ya wengine kwa sababu ya uongozi anajulikana ...
hiyo ya sijui jeshi la polisi eti litababaika na uzushi wa masuala ya utekaji, ili liache kufanya kazi yake vizuri, labda sio Jeshi la Polisi Tanzania.
Jeshi la police Tanzania litaendelea kutekeleza wajibu wake wa kikatiba kwa mujibu wa sheria bila mbambamba yoyote gentleman 🐒