Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

Wakazi wa jangwani wamefurahi maana walikuwa wanakabwa kuporwa kila wakiomba polisi waweke doria pale kimyaa
Naona sahv maandamano ya hawa cdm yamewaleta mpaka pale bila kupenda,khmbe ulinzi wanaweza ehh hii patrol tunaomba ipigwe mwaka mzima bila kusimama mama 😄

Ova
hata balozi yule mchokozi ng'ambo akifukuzwa mara moja, mambo humu nchini yatabadilika sana gentleman 🐒
 
Hujakatazwa
Fanya ibada, wapongeze na kadhalika.

Maandamano ya kudai haki kwa amani yapo palepale
Relax gentleman, usiweweseke...

wala huna haja kunielekeza vitu ambavyo ninavijua tayari na ninavifanyaga always 🐒
 
Amani gani na utulivu? Mtu anatekwa na kwenda kuuawa mchana kweupe unasema kuna amani?
Relax gentleman,
amani ya ndoa au familia yako jaribu kutafuta namna binafsi kuitafutia majawabu...

kama Taifa,
Licha ya dosari na kasoro ndogo ndogo, Amani, Usalama na utulivu wa wananchi ni wa kiwango cha Juu sana ukilinganisha na wakati mwingine wowote.

vinginevyo,
kua na mawazo au mtazamo tofauti dhidi ya ukweli huo, ni uhuru na haki ya kawaida kabisa kwa mwanadamu kuridhika au kutokuridhika na jambo Fulani. Lakini ukweli utabaki pale pale..

Umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania ni wa uhakika zaidi hivi sasa 🐒
 
Unahitaji tiba ya afya ya akili ,unatakiwa watu wako wa karibu wakupeleke MIREMBE ukatibiwe.
 
Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi.

Hakuna kitisho cha vurugu, fujo, wala uvunjifu wa amani tena nchini. Jeshi imara la polisi nchini, mmejipanga vizuri sana kuzuia, kudhibiti na kusambaratisha magenge ya aina zote za kihalifu nchini, kuanzia sasa. Hilo limewatia moyo sana waTanzania. Well done our very able Police Forces. Tanzanias are proud and peace over you.

Katika kipindi hiki,
waTanzania wengi zaidi wana imani kubwa sana na jeshi imara la polisi nchini, na wana uhakika wa ulinzi na usalama wao na familia zao, mali na makazi yao wanakoishi, kuliko wakati mwingine wowote. Kujaribu kupotosha au kupinga ukweli huu ni usaliti kwa Taifa na haiwezekani..

Asante sana ndugu Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji huu muhimu na mkubwa sana katika wa amani, umoja na utulivu wa wananchi Tanzania.

Kwa hakika dhamira na nia yako njema inajidhihirisha nchini kote, na maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa yanaonekana bayana na kuimarika siku hadi siku, kwasababu ya amani na utulivu wa kudumu uliopo.

Mungu akubariki sana Mh.Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan.
Mungu Bariki Jeshi la Polisi Nchini Tanzania 🐒

Nawatakia Nyote Jumapili ya Neema

Nawatakia Nyote Jumapili ya Neema na Baraka za Mungu 🌹
Naruhusiwa kuzawadia mtu kivumishi Cha sifa (tiusi) kuonyesha ameni kera?
 
Tuwashitaki watekaji na wauaji kwa Mungu baba.
Awalipe sawasawa na uuaji wao.
 
Kwa kweli Jeshi la Polisi wsmeonesha woga mkubwa sana na udhaifu wao umeonekana wazi.
 
Yaani wewe ni BOGA,BUMUNDA, BONGOLALA,POPOMA,KILAZA.

unasifia jeshi linalotuhumiwa kuua,kuteka,??
Kufanya patrol kwa ajili ya watu wanaotaka kuandamana kupinga mauaji,kutekwa,kupotezwa watu na kuumizwa???

Hivi wewe tukisema wazazi wako walikosea kukusomesha WALITAKIWA KUFUGA NGURUWE kuliko kukusomesha wewe,si utasema UNATUKANWA??

POPOMA mkubwa wewe! Shame on you 🤔🤔
 
jeshi la polisi la Tanzania ni miongoni mwa majeshi bora ya polisi Duniani.
Haliyumbishwi, halitetereki wala kubabaika na dosari au kasoro ndogo ndogo za wanasiasa hasa wanaofanya uchaguzi wao wa ndani ya chama chao hivi sasa,

kwasabb ya chuki na uhasama wa wao kwa wao huviziana na kuuana kwasabb ya ungozi tu.

Bali Jeshi la Polisi Nchini Tanzania ndio linajiimarisha na kujizatiti zaidi kulinda Usalama wa watu,mali na makazi yake 🐒
 
Yaani wewe ni BOGA,BUMUNDA, BONGOLALA,POPOMA,KILAZA.

unasifia jeshi linalotuhumiwa kuua,kuteka,??
Kufanya patrol kwa ajili ya watu wanaotaka kuandamana kupinga mauaji,kutekwa,kupotezwa watu na kuumizwa???

Hivi wewe tukisema wazazi wako walikosea kukusomesha WALITAKIWA KUFUGA NGURUWE kuliko kukusomesha wewe,si utasema UNATUKANWA??

POPOMA mkubwa wewe! Shame on you 🤔🤔
kuna vyama vinaongozwa hadi na watu wenye rekodi na tuhuma za kigaidi gentleman, au hujui? kwan tuhuma ndio nini?

Yaan kwasababu ya tuhuma za kisiasa, ndio Jeshi la Polisi nchini, lisiendelee kujiimarisha na kujizatiti zaidi kukabiliana na uhalifu wa aina zote?

Atakae thubutu kuleta fujo au kuvuruga utulivu wa wananchi popote nchini, atashughikiwa isivyokawaida. Ni muhimu mno kujitenga na magenge ya kiahalifu mara moja..

Infact,
ufugaji na biashara ya nguruwe inanipatia up to 4.5M per week kwenye bucha za hapo Dar es salaam gentleman. Kwasabb kila alhamisi naleta zaidi ya nguruwe 15 Dar.
So, mimi ni mfugaji mnufaika mzuri wa biashara na ufugaji nguruwe, hiyo nakubali kabisa .Ila ninayo mang'ombe pia gentleman..

mbali na hayo yote,
kama wewe ni muerevu gentleman, mbona sasa unaendekeza mihemko na maneno mbofu mbofu, badala ya kuibua mawazo mapya na fikra mbdala dhidi ya hoja mezani?🤣
 
Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi.

Hakuna kitisho cha vurugu, fujo, wala uvunjifu wa amani tena nchini. Jeshi imara la polisi nchini, mmejipanga vizuri sana kuzuia, kudhibiti na kusambaratisha magenge ya aina zote za kihalifu nchini, kuanzia sasa. Hilo limewatia moyo sana waTanzania. Well done our very able Police Forces. Tanzanias are proud and peace over you.

Katika kipindi hiki,
waTanzania wengi zaidi wana imani kubwa sana na jeshi imara la polisi nchini, na wana uhakika wa ulinzi na usalama wao na familia zao, mali na makazi yao wanakoishi, kuliko wakati mwingine wowote. Kujaribu kupotosha au kupinga ukweli huu ni usaliti kwa Taifa na haiwezekani..

Asante sana ndugu Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji huu muhimu na mkubwa sana katika wa amani, umoja na utulivu wa wananchi Tanzania.

Kwa hakika dhamira na nia yako njema inajidhihirisha nchini kote, na maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa yanaonekana bayana na kuimarika siku hadi siku, kwasababu ya amani na utulivu wa kudumu uliopo.

Mungu akubariki sana Mh.Rais na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan.
Mungu Bariki Jeshi la Polisi Nchini Tanzania 🐒

Nawatakia Nyote Jumapili ya Neema na Baraka za Mungu 🌹
20240922_094712.jpg
 
Siku atakayokufa mtu wako wa karibu kwa kuuawa na. Polisi ndio tutalipongeza jeshi la polisi kwa kudumisha amani
watu wangu wa karibu wengi sana wameshatangulia mbele ya haki gentleman, hadi Baba yangu Mzazi ameshakufa🤭

Kwan wewe bado hujafiwa na mtu wako wa karibu kabisaa?

na, alipokufa uliandamana?🐒

Mimi bana sikuandamana wala nini, ila nilisikitika sana. Nilimshukuru Mungu kwaajili ya Maisha ya Baba yangu, na kwa kunileta humu duniani. Na kisha baadae ya kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele, niliendelea na maisha mengine mpaka hivi sasa 🐒
 
Kwa kweli Jeshi la Polisi wsmeonesha woga mkubwa sana na udhaifu wao umeonekana wazi.
La muhimu zaidi ni kwamba,
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania linaendelea kujipanga, kuniimarisha na kujizatiti kisasa zaidi kupambana na kudhibiti uhalifu wa aina zote nchini,

Kesho inaweza kua mfano, ili na mtu mwingine asijekujaribu wala asirudie tena uhalifu wake 🐒
 
Back
Top Bottom