Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

Well said Mkuu, ndo maana nikaona kuliko kukaa na haya mawazo mwenyewe, ngoja niyaweke kwa wanajamvi ili palipo na mapungufu, waweze kunirekebisha. Nashukuru umekuwa miongoni mwa hao.
Ahsante sana ndugu Kalamu.
Tuko pamoja.
 
Utakapokuwa Rais ndio siku utagundua kuna mizizi imejichimbia na ni mikubwa haigusiki na una sehemu ndogo tu ya kucheza nayo, ukifanya tofauti unajikuta mgeni rasmi katika bara usilolijua.
So sad!
 
Deep state (not Votes) reserve the rights of winning presidence

Deep state haipigiwi Kura

Deep state can change president the way and when they wish

nazungumzia deep state ya Belarus sio ya Uzbekistan
My Deep state will be God..
 
Mzena ileeeeee itakulaki ndani ya wiki mbili
 
Katiba ya sasa hivi itanisaidia kuwashughulikia mafisadi kwa uhuru zaidi pasipo kuogopa kupelekwa Mahakamani hata baada ya kuachia ngazi.. Maana Katiba ya sasa inatoa kinga ya Mh. Rais kutoshitakiwa kwa yote aliyoyafanya kipindi akiwa madarakani..
Bila shaka umenielewa ndugu yangu
Unamaanisha KATIBA ikibaki ilivyo itakupa GAP?? au ikibadirishwa unahisi siku ukiwa rais ndoto zako zitakuwa zimeshatimizwa na katiba??
 
MAGUFULI MPYA ATAKUWA KAFUFUKA,TANZANIA INAHITAJI RAIS SHUPAVU,JASIRI,MZALENDO NA MWENYE UDHUBUTU,

NINAJUA UKIWA NA SIFA HIZO,UTAKUWA UMEJITOA MHANGA MAISHA YAKO,NA USIKUOGOPE KIFO,
 
Nb: wapinzani watakuita dikteta
 
Na wee ukingia lazima ukwibeee tu

Ujinufaishe wewe na uko wako

Ova
 
Mzena ileeeeee itakulaki ndani ya wiki mbili
Mmmh!
Kazi ipo.
Mbona hakuna sehemu yoyote nimetukana mtu?
Kwa nini wanitafute?
Hata hivyo haya si ni mawazo yangu na Katiba yetu inaruhusu uhuru wa raia kutoa maoni yake?
Kingine, kabla hawajanitafuta, wawatafute kwanza moderators wangu waliouruhusu huu uzi.
 
Anyone can be touched. Wewe ndio mjinga. Mmeshaaminishana huko kua nyie hamgusiki? Kama jiwe alishindwa ndio kila mtu atashindwa? Subiri ujionee
Wewe ni mjinga na mpuuzi. Huna akili. In short wewe ni mpumbavu
 
Amina nakuombea ufanikiwe.

Katika hilo, usione haya, Kupambana mpaka na Viongozi wasowaaminifu wanaolamba Asali walioko kwenye vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama.
Riwaya....heka heka za mbowe mlamba asali na chupa ya konyagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…