Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

Ajaye 2025 ana maono kama Yako.
 
Attachments

  • Rais_Magufuli_kuhusu_Ufisadi_na_Tanzania_kuwa_Shamba_la_Bibi_|Mar_20,_2016_|(144p).mp4
    1.3 MB
Siwezi kuyasahau Mkuu
 
Tatizo ni uta pitaje pitaje pitaje mkuu
 
Unawajengea magereza huko ndani Malinyi na yanakuwa magereza 3
La akina baba
La akina mama
La watoto wao.
Kazi iwe ni kupasua mawe, kulima, kupasua kuni kwa saa 10 kwa siku! wakifa wazikwe hukohuko!
 
Unawajengea magereza huko ndani Malinyi na yanakuwa magereza 3
La akina baba
La akina mama
La watoto wao.
Kazi iwe ni kupasua mawe, kulima, kupasua kuni kwa saa 10 kwa siku! wakifa wazikwe hukohuko!
Kabisa Mkuu, maana wengi wao wanalitesa sana Taifa hili kwa ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…