niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Kabanduliwe mbele ya safariUjue una fail mno! Hivi fisadi akiwa touched anaonewa ilhali imethibitika kuwa ni fisadi? Kwa nini unawatetea?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabanduliwe mbele ya safariUjue una fail mno! Hivi fisadi akiwa touched anaonewa ilhali imethibitika kuwa ni fisadi? Kwa nini unawatetea?!
Kumbe huna ustaarabu. Ngoja nikupeleke kwenye ignore list we' maviKabanduliwe mbele ya safari
Mbowe huyu hapa [emoji117][emoji90]Kwa hiyo Mbowe na mwenyewe kwenye orodha ya wazalendo wa nchi hii unamweka?!!
Wewe kahaba mjinga, add na mnduku wako kwenye ignore listKumbe huna ustaarabu. Ngoja nikupeleke kwenye ignore list we' mavi
Ajaye 2025 ana maono kama Yako.Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu.
Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana.
Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada.
Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote, vivyo hivyo na mimi nina amini kwamba siku moja, Mungu akinifanikisha kuwa Rais wa nchi yangu ya
Tanzania, pamoja na kwamba kwa sasa si mwanasiasa na wala si mtu maarufu na wala sitoki kwenye familia maarufu au tajiri; nitafanya haya yafuatayo kwa ajili ya usitawi wa Taifa langu na kwa watu wake pia;
1. Nitabadilisha mnyama anayeliwakilisha Taifa letu toka kuwa Twiga hadi kuwa Tai. Lengo ni kubadilisha mentality ya Watanzania toka kuwa watu wenye maono ya muda mfupi na mwendo wa taratibu kuelekea kwenye maendeleo hadi kuwa watu wenye kasi kubwa na maono ya muda mrefu. Tai haliwi. Hivyo hiyo itasaidia pia kutuondolea dhana potofu kwamba ili ule lazima uliwe kwanza hadi kwenye dhana ya kwamba unaweza kula tu bila kuliwa hata kidogo.
2. Nitawajengea Watanzania kuwa na moyo wa kufanya mambo makubwa kwa vitendo.
3. Nitaifanya Tanzania kuwa moja kati ya Mataifa makubwa kabisa duniani kijeshi, kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia n.k.
4. Nitawaheshimisha na kuwaenzi ipasavyo viongozi wote waliolitumikia Taifa letu kwa Uzalendo Mkubwa kuanzia kwa Hayati Julius Nyerere hadi kwa Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Hii itawajengea moyo wa uzalendo viongozi wengine kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa.
5. Viongozi wote ambao kwa namna moja ama nyingine walichangia kuliingizia Taifa letu hasara kwa namna yoyote, wawe hai au wamekufa, lazima watafidia hiyo hasara waliyolisababishia Taifa. Hii itajumuisha kutaifisha mali ambazo warithi wao walizirithi ziwe ndani au nje ya nchi. Pia adhabu ya kifungo kwa wale watakaokuwa hai itahusika. Hii itakuwa onyo kwa viongozi wengine wa kipindi hicho na wale watakaofuatia kuliongoza Taifa letu, ili waweze kuliongoza kwa uzalendo na kujitoa muhanga pia kwa ajili ya nchi yetu.
6. Idara ya usalama wa Taifa itaimarishwa kuanzia ngazi ya familia hadi ngazi za juu kabisa.
7. Serikali itawajibika kuwatunza katika nyanja zote (mavazi, malazi, chakula, elimu, afya n.k), watoto wote wa mtaani, watoto yatima, wazee wasio na uwezo wa kujitunza n.k. Kila raia lazima apewe mahitaji yote ya msingi na nchi yake.
8. Tenda zote za Serikali, zitapewa taasisi za serikali kama vile SUMA JKT, MAGEREZA, JWTZ n.k.
9. Nitajitahidi kupunguza tofauti kati ya matajiri na maskini kwa kuhakikisha keki ya Taifa inagawiwa sawa kwa wananchi wote.
10. Nitaboresha Taasisi zote za Serikali zionekane bora kuliko Taasisi binafsi.
NOTE: Serikali yoyote inawajibika kuhakikisha watu wake wote wanapata mahitaji yao yote ya msingi ikiwemo chakula, mavazi, sehemu nzuri za kuishi, usafiri, huduma za Afya, usalama wao na mali zao, mawasiliano, burudani n.k. Pia ni majukumu ya serikali kuhakikisha raia wanafurahia maisha na kujivunia nchi yao. Ni fedheha kwa serikali kwa raia wengi kuilalamikia kila siku kwa kushindwa kufanya kulingana na matarajio yao.
Ombi langu kwa Mungu ni kwamba hii Katiba tuliyo nayo sasa, iendelee kuwepo hadi huo muda ili niweze kufanya hayo yote niliyoyataja hapo juu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania nchi yangu, Mungu ibariki Jamii Forum na members wake wote, Mungu nibariki mimi na familia yangu pia,
AMINA.
Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu.

Ni yupi Mkuu, maana kila nikiangaza kote kote sioni. Sioni ndani wala nje!Ajaye 2025 ana maono kama Yako.
I will beYou will never be.
Sawa tu, maana na wao watakufa tuWatakuua....!!!
Na wenzako huwa wanasema hivyo hivyo lakini pale wanapoupata wanasahau kila kitu.
Ndugu zako na rafiki zako huwa ndiyo washauri wako na wapambe wako wa kufaidika. Wengine Mungu akitupa uhai tutaendelea kulima kwa meno.
Tumeyaona hayo kwenye mifumo mingi tu ya kiafrika (nitajie mmoja ambao hauna tabia hiyo kuanzia afrika magharibi, mashariki na kusini).
Kwa hivyo omba pole pole tu usipige kelele ya ukombozi, siku ukifanikiwa utayasahau yote uliyoahidi.
😁😁😁😁😁Mbowe huyu hapa [emoji117][emoji90]
Mwache alambe asali Mkuu.Mbowe huyu hapa [emoji117][emoji90]
Ni MLAWI.Ni yupi Mkuu, maana kila nikiangaza kote kote sioni. Sioni ndani wala nje!
Tatizo ni uta pitaje pitaje pitaje mkuuHabari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu.
Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana.
Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada.
Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote, vivyo hivyo na mimi nina amini kwamba siku moja, Mungu akinifanikisha kuwa Rais wa nchi yangu ya
Tanzania, pamoja na kwamba kwa sasa si mwanasiasa na wala si mtu maarufu na wala sitoki kwenye familia maarufu au tajiri; nitafanya haya yafuatayo kwa ajili ya usitawi wa Taifa langu na kwa watu wake pia;
1. Nitabadilisha mnyama anayeliwakilisha Taifa letu toka kuwa Twiga hadi kuwa Tai. Lengo ni kubadilisha mentality ya Watanzania toka kuwa watu wenye maono ya muda mfupi na mwendo wa taratibu kuelekea kwenye maendeleo hadi kuwa watu wenye kasi kubwa na maono ya muda mrefu. Tai haliwi. Hivyo hiyo itasaidia pia kutuondolea dhana potofu kwamba ili ule lazima uliwe kwanza hadi kwenye dhana ya kwamba unaweza kula tu bila kuliwa hata kidogo.
2. Nitawajengea Watanzania kuwa na moyo wa kufanya mambo makubwa kwa vitendo.
3. Nitaifanya Tanzania kuwa moja kati ya Mataifa makubwa kabisa duniani kijeshi, kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia n.k.
4. Nitawaheshimisha na kuwaenzi ipasavyo viongozi wote waliolitumikia Taifa letu kwa Uzalendo Mkubwa kuanzia kwa Hayati Julius Nyerere hadi kwa Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Hii itawajengea moyo wa uzalendo viongozi wengine kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa.
5. Viongozi wote ambao kwa namna moja ama nyingine walichangia kuliingizia Taifa letu hasara kwa namna yoyote, wawe hai au wamekufa, lazima watafidia hiyo hasara waliyolisababishia Taifa. Hii itajumuisha kutaifisha mali ambazo warithi wao walizirithi ziwe ndani au nje ya nchi. Pia adhabu ya kifungo kwa wale watakaokuwa hai itahusika. Hii itakuwa onyo kwa viongozi wengine wa kipindi hicho na wale watakaofuatia kuliongoza Taifa letu, ili waweze kuliongoza kwa uzalendo na kujitoa muhanga pia kwa ajili ya nchi yetu.
6. Idara ya usalama wa Taifa itaimarishwa kuanzia ngazi ya familia hadi ngazi za juu kabisa.
7. Serikali itawajibika kuwatunza katika nyanja zote (mavazi, malazi, chakula, elimu, afya n.k), watoto wote wa mtaani, watoto yatima, wazee wasio na uwezo wa kujitunza n.k. Kila raia lazima apewe mahitaji yote ya msingi na nchi yake.
8. Tenda zote za Serikali, zitapewa taasisi za serikali kama vile SUMA JKT, MAGEREZA, JWTZ n.k.
9. Nitajitahidi kupunguza tofauti kati ya matajiri na maskini kwa kuhakikisha keki ya Taifa inagawiwa sawa kwa wananchi wote.
10. Nitaboresha Taasisi zote za Serikali zionekane bora kuliko Taasisi binafsi.
NOTE: Serikali yoyote inawajibika kuhakikisha watu wake wote wanapata mahitaji yao yote ya msingi ikiwemo chakula, mavazi, sehemu nzuri za kuishi, usafiri, huduma za Afya, usalama wao na mali zao, mawasiliano, burudani n.k. Pia ni majukumu ya serikali kuhakikisha raia wanafurahia maisha na kujivunia nchi yao. Ni fedheha kwa serikali kwa raia wengi kuilalamikia kila siku kwa kushindwa kufanya kulingana na matarajio yao.
Ombi langu kwa Mungu ni kwamba hii Katiba tuliyo nayo sasa, iendelee kuwepo hadi huo muda ili niweze kufanya hayo yote niliyoyataja hapo juu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania nchi yangu, Mungu ibariki Jamii Forum na members wake wote, Mungu nibariki mimi na familia yangu pia,
AMINA.
Never say neverYou will never be.
Ukisoma uzi wangu vizuri, utajua nitapita pitajeTatizo ni uta pitaje pitaje pitaje mkuu
Askofu?!Ni MLAWI.
Ahsante sana MkuuNever say never
Kabisa Mkuu, maana wengi wao wanalitesa sana Taifa hili kwa ufisadiUnawajengea magereza huko ndani Malinyi na yanakuwa magereza 3
La akina baba
La akina mama
La watoto wao.
Kazi iwe ni kupasua mawe, kulima, kupasua kuni kwa saa 10 kwa siku! wakifa wazikwe hukohuko!