Siku nikisema nihadithie mikasa iliyonipata kwenye mapenzi members wote wa jf mtabubujikwa na machozi

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Yan haya maisha usijihaminishe lolote hasa Kwa kiumbe wa jinsia yakike uwe unahela utapigwa matukio, uwe katili utapigwa matukio, uwe sijui handsome boy utapigwa matukio, uwe na viuno kama fally ipupa utapigwa matukio, uwe unanukia kama majini utapigwa matukio.

Kwa afya ya akili na mwili wanawake tuwachakate tu kupunguza nyege lkn usithubutu kudhania, kuhisi au kujiaminisha unapendwa huo ni wakati wako tu zamu ikiisha ukiwa na roho ndogo utajiua utaua au kuangamia mazma.

Siku nikipata ujasir nitaweka hapa yaliyonipata.

USHAURI: kamwe usimuonee huruma mwanamke aliekusaliti Kwa aina yoyote Ile acha afe au ateseke hao viumbe vinajuta kutoka moyoni vikiwa ndani ya futi sita a.k a kaburini duniani ni maagizo usiingie mkenge mwanaume mwezangu
 
Always remember 👇👇

0231115_49.jpg

And 👇👇👇

Tumblr_l_76417333568919.jpg
 
Naunga mkono hoja kwamba mwanamke si mtu wa kumuonea huruma hata siku moja, atakupiga mzinga wewe unayemlipia kodi na kumuweka mjini ili akamuhonge na kumghalamia mwanamme anayemrusha roho tu. I never take women serious hata siku moja na akijifanya kulia kwangu ndiyo kwanza namzimia simu au kumfukuza ghetto akalie huko mbele ya safari.
 
😀😀😀😀😀😀 ila yenu wanaume aaaah! Eti mmeumbwa hivyo, basi na sisi tumeumbwa hivyo
 
Mfano hai mwijaku ana mke na Familia, alitoa mpaka video ya ngono na menina, majuzi tu mademu 2 walipigana kisa wote wanatembea na mwijaku, afu mke atulie tu asigongwe nje, sio kweli 😀😀😀😀
 
Yan haya maisha usijihaminishe lolote hasa Kwa kiumbe wa jinsia yakike uwe unahela utapigwa matukio, uwe katili utapigwa matukio, uwe sijui handsome boy utapigwa matukio, uwe na viuno kama fally ipupa utapigwa matukio, uwe unanukia kama majini utapigwa matukio.

Kwa afya ya akili na mwili wanawake tuwachakate tu kupunguza nyege lkn usithubutu kudhania, kuhisi au kujiaminisha unapendwa huo ni wakati wako tu zamu ikiisha ukiwa na roho ndogo utajiua utaua au kuangamia mazma.

Siku nikipata ujasir nitaweka hapa yaliyonipata.

USHAURI: kamwe usimuonee huruma mwanamke aliekusaliti Kwa aina yoyote Ile acha afe au ateseke hao viumbe vinajuta kutoka moyoni vikiwa ndani ya futi sita a.k a kaburini duniani ni maagizo usiingie mkenge mwanaume mwezangu
Upo safarini miezi kadhaa ,unaambiwa na mtu wako wa karibu Mwanamke wako anakusaliti, " Unaanza kufanya uchunguzi kimya kimya unagundua kweli kuna kila dalili za usaliti ,hakuna mawasiliano ya mara kwa mara kama zamani, hajibu text kwa wakati kama zamani.
Unaamua kumuweka wazi juu ya yale uliyoambiwa na uliyochonguza ,Anakataa anakwambia japokuwa unasafiri muda mrefu haupo nyumbani hawezi kukusaliti , hao wanaokwambia hayo maneno wana lao jambo na uchunguzi uliofanya sio sahihi.
Katika maelezo yake yanayojikanganya unazidi kupata ushahidi mwingine kwamba anakusaliti, hatimaye unaamuwa kumwambia - Kwa tabia zako kuanzia leo hii nakuchukia sikupendi na sikutaki na natamani hata leo hii uondoke hapo nyumbani,wewe sio Mke ni Hawara tu,
"Yeye anakwambia hapana hawezi kuondoka nyumbani bado anakupenda na anahitaji kuendelea kuishi na wewe,Ila kama umemchoka iko siku ataondoka tu ila hawezi kuondoka ukiwa safarini,Wewe unamwambia hapana una tabia chafu sikutaki tena.
Miezi kadhaa baadaye unarudi nyumbani kutoka safarini,unakuta kahamia chumba cha Wageni, chumbani kwenu anaingia kufanya usafi tu usipokuwepo ukirudi unakuta chumba kisafi, mnaishi maisha hayo miezi miwili hakuna huduma nyingine unayopewa zaidi ya chakula na kufuliwa nguo.
Siku ya siku unamuita unamwambia ulishasema nikifika tu utaondoka kulikoni mpaka leo hii upo? Anakwambia tayari kapata nyumba anasubiri ifanyiwe marekebisho madogo madogo ataondoka, pia anakwambia aliishi na wewe kwa uaminifu mkubwa ila kwakuwa unasikiliza maneno ya watu na kwakuwa ulishamwambia humtaki humpendi na unamchukia basi yeye kakubali kuhama ,Pia anakwambia kuna mwanaume alikuwa anamtongoza miaka mingi sana alikuwa akimkataa ila baada ya zile text zako ikabidi afanye maamuzi magumu amkubali na wanawasiliana kama wapenzi,
Mkiwa katika mazungumzo Jamaa anapiga simu anamuuliza yuko wapi bila hofu yoyote anapokea simu mbele yako anajibu yupo nyumbani na mgeni wana mazungumzo,Jamaa anamwambia sawa Mimi nakuja nimekuletea zawadi mkeo anajibu poa nitakutafuta baadaye,
"Baada ya kusikiliza mazungumzo yao unapata ushahidi mwingine usiokuwa na shaka kwamba unasalitiwa ,unamuuliza huyu ni nani? Anakwambia huyu mwanaume ni Ally alikuwa ananitaka miaka mingi sana hata kabla yako nilikuwa napiga chenga,Ila baada ya kunitamkia yale maneno makali siku Ile ikabidi nimkubali tu,unachukua simu unaona sms wanazotumiana wakiitana Mke na Mume na makopa kopa kibao,Anaanza kujitetea kwamba kamkubali ila hajawahi kufanya naye chochote mpaka sasa,
Unamwambia kama hamjafanya kweli naomba uachane naye maisha yaendelee tusameheane ila nitahitaji kujiridhisha nijue kweli hamjafanya,yeye anakataa anakwambia "umenituhumu mara nyingi sana hata tukiendelea kuishi pamoja bado tutaendelea kugombana kwasababu huniamini Kwahiyo bora nikaishi maisha yangu yasiyokuwa na bugudha,hata huyu mwanaume najua hawezi kunipenda kama ulivyokuwa unanipenda wewe ila Sina namna nimefika mwisho uvumilivu umenishinda, halafu siamini kama unaomba msamaha wa kweli najua unanijaribu tu lakini hata kama hunijaribu maamuzi yangu ni haya mapenzi mimi na wewe basi,
"Tumekaa miaka yote hii tumejaaliwa watoto wawili hujawahi kunipeleka kwenu wala kwetu hukujui,kama hiyo haitoshi wewe huniamini kwahiyo maamuzi niliyofanya ni hayo tu,Ila kama unataka tuendelee sharti langu ni moja tu uende kwetu nioe niwe mkeo lakini maisha haya ya uhawara miaka yote nimechoka.
Halafu baada ya hayo mazungumzo usiku anakuja chumbani kwako akiwa amevaa nguo ya kulalia tu,anakuja kujilaza kifuani mwako unamwambia huwezi kulala naye mpaka upate uhakika kama alishazini na Ally au la,unamtimua chumbani kwako anarudi chumba cha Wageni alikohamia, baada ya siku kadhaa anahamia kwenye nyumba aliyopanga wewe unabaki na wanao wawili.
Kabla hajaondoka anakwambia kama utakuwa tayari kupeleka mahari kwa wazazi wangu muda wowote nijulishe ,ila kama hauko tayari basi mchezo umeisha.
Wewe kama mwanaume Utafanyaje?
Je kwa maelezo haya unaamini huyu mwanamke hakuwa na mahusiano na huyu Jamaa hata kabla mumewe hajamhisi?
Je tujifunze nini kupitia huu mkasa?
Na lipi la kumshauri huyu Msalitiwa ?
 
Nilimuona lecture wangu alinifundisha somo la Artificial Intelligence (AI) Anaanza tembea na baiskeli ndogo, sku nyingine akaanza tembea peku. Nilijiuliza hivi huyu ndio hesabu zimepanda sana mpka aelewi ya ulimwengu.
Kufuatilia kumbe mwanamke kashampiga tukio kubwa mpka nikamwonea huruma
 
Hizi hadith zako hapana, unaishi vipi na mwanamke hujamuoa mpk mnazaa watoto wawili na istoshe biashara zako ni zakusafiri kukuweka mbali nae ?. Mimi naona hakuna aliesaliti wala kusalitiwa wote wahuni tu
 
Wewe ni bwege na simp over........
 
Back
Top Bottom